Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni Kama either tulipishana ama ulikuja Kama nishatoka. Nilikuwa nimepark kando ya hiyo gari ya KCT nikiingia hapo International Medical Consultants.

Now wait for tomorrow uone yule jamaa wa kuomba lift pia akileta picha zenye atapiga akiwa amekaa nyuma ya gari.
Actually nimecheck time nilipiga hiyo picha at 2:27 PM. Though nilipita hapo nikipanda at around 12:00. Hii ndio mitaa yako ya mashughuli ama vipi?
 
BTW RSA wanna-branch Nairobi! Endeleeni kuiga maana tourvans za Ukunyani bado Zina-stream Arusha!

Website ya KVM Hamna mahali wamesema wanafanya modification warbus ya tourvans na wako licensed. Itakuwa juakali style.

Products za KVM zinazojulikana!
a4.jpg

a3.jpg

Kwa hivo wakitengeneza hizo msbasi hawawezi tengeneza kingine? Remember KVM also assembles cars for VW, Hyundai and Peugeot. Alafu pia hizo tour vans zenu za RSA huwa mnanunua assembled pickups Toyota Kenya ndio mnaenda kumodify.
 
Ni Kama either tulipishana ama ulikuja Kama nishatoka. Nilikuwa nimepark kando ya hiyo gari ya KCT nikiingia hapo International Medical Consultants.

Now wait for tomorrow uone yule jamaa wa kuomba lift pia akileta picha zenye atapiga akiwa amekaa nyuma ya gari.
Wakenya bhn eti "nilikuwa nimepark kando..." Utadhani kweli vile 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom