Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio lugha yetu vipi mkorea akienda india anaongea kihindi? mtaialand akienda marekani anaongea kingereza?
Ishu sio kuongea lugha yenu ila ku assume muingereza, muhispania ama mjapani anaelewa kiswahili ndio nina shida nayo, nipo sure kuna watanzania wengi wanaoelewa kiingereza, so make use of them kuwa translators 😂😂😂
 
Nilidhani hizo basi ni za zamani hamzitumii tena, au mlisahau mlishajaribu kutudanganya 😂😂
Kwamba hizo basi unafananisha na vipanya!
Ni vipanya ndio hazitumiki Dar Es Salaam.
Acha kuchanganya mambo.
 
Back
Top Bottom