Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huoni tatizo kwa taifa maskini linalotegemea grants (misaada) na mikopo ya shs 5.4T kila mwaka kujaza bajeti kuzamisha ushuru wake wa shs 3.6T kwa biashara ambayo haina faida yeyote kwenye uchumi na mwananchi.
Ndio mama Ngina aliwadanganya hvi??🤣🤣 Kua Tanzania inategemea mikopo na grants na maendeleo yote yanayofanyika kwenye nchi hii, jiandae kisaikolojia keshokutwa B787 dreamliner inawasili hapo VP??
 
Alaf ndio Ina CAF and FIFA standards ww hushangai 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Standard moja ya FIFA na CAF ni foldable seats, ebu tuonyeshe kiti kimoja cha benjamin makwapa stadium kikiwa kimekunjwa. Hapo ndio utajua kwamba mulifanyiwa hisani manake nyinyi ni LDC ndio maana hata madeni pia mna- samehewea😃 inakuaje azam stadium imekidhi standards hizo😀😀
 
Najua ni ignorance uko nayo kwa wingi
Hio ndio maana hujaleta Precision air. Ulijua utachapwa viboko. Shida hukufanya research kujua kwamba Kenyans own your Tanzanian registered aircraft and airline companies 😂
Sit and learn
View attachment 2947495
Dead airline. Tanzania kuna mashirika ya ndege zaidi ya 100. Precision is dead.
 
Standard moja ya FIFA na CAF ni foldable seats, ebu tuonyeshe kiti kimoja cha benjamin makwapa stadium kikiwa kimekunjwa. Hapo ndio utajua kwamba mulifanyiwa hisani manake nyinyi ni LDC ndio maana hata madeni pia mna- samehewea😃 inakuaje azam stadium imekidhi standards hizo😀😀
Kiti ndio kinafanya CAF isitambue Benjamin mkapa stadium akili yako na kondoo zinatofaut gani??🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hebu nambie kwann Benjamin mkapa stadium ni FiFA and CAf standards kwann au waliipendelea Tu 😁😁😁😁😁😁😁
 
Standard moja ya FIFA na CAF ni foldable seats, ebu tuonyeshe kiti kimoja cha benjamin makwapa stadium kikiwa kimekunjwa. Hapo ndio utajua kwamba mulifanyiwa hisani manake nyinyi ni LDC ndio maana hata madeni pia mna- samehewea😃 inakuaje azam stadium imekidhi standards hizo😀😀
Haya basi nawapigia simu CAF wasichague Benjamin mkapa wachague kasarani au unasemaje, iko namna gani hio 🤣🤣🤣🤣

Haya nyamaza usilie mechi zitachezwa kasarani na sio Benjamin mkapa haya futa kamasi ewaaa mtoto mzuri😅😅

View: https://twitter.com/CAFCLCC/status/1771869574343917842?t=uOKAhMWQUuBEQwIs5S1zIQ&s=19
 
Kuendesha ma bus ya BRT imewashinda mpaka imebidi waombe usaidizi kutoka kwa kampuni ya Dubai (ENG), yani kitu ambacho kampuni private ya Kenya inaweza kufanya imeishinda serikali ya Tanzania. Alafu utarajie wanaweza kuendesha biashara ngumu kama ya Avation. Bandari pia nayo imewashinda washaanza kuuza gati moja baada ya nyingine😃😃View attachment 2947458

Sasa shirika la KQ hapo mpaka mmempatia mzungu ili asimamie unadhani nyie wakora ni kitu gani mtaweza?
 
ChoiceVariable nilikwambia mm Hilo jengo litatumika na hakuna jengo lingine litajengwa la abiria na billion 29 zimesainiwa kwa ajili ya kuweka njia ya kuegesha ndege na parking area, kujenga uzio uwanja mzima, maeneo ya kibishara, maegesho ya magari, na mifumo ya kisasa, alaf munatuletea utani sijui chini ya viwango sijui nn 🤣🤣🤣🤣

View: https://youtu.be/LditTksgQ68?si=jPg5eVRTe1WlBeEn
 
Standard moja ya FIFA na CAF ni foldable seats, ebu tuonyeshe kiti kimoja cha benjamin makwapa stadium kikiwa kimekunjwa. Hapo ndio utajua kwamba mulifanyiwa hisani manake nyinyi ni LDC ndio maana hata madeni pia mna- samehewea😃 inakuaje azam stadium imekidhi standards hizo😀😀
Acha urongo.
Katika standarda za FIFA hakuna sehemu imeandikwa lazima uwanja uwe na foldable seat.
Lete ushahidi ya utumbo unaozungumza.
Fifa wanatizama pitch,majukwaa,sehemu za kubadili nguo,mabafu hvyo ndio vya kuzingatia.
Hakuna sehem walisema foldable seats kichaa wewe
 
Back
Top Bottom