Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
Mombasa nzuri kweli. Tena inakuja kwa uzuri.
Huu ni uwanja ama zizi la ng'ombe🚮Hivi AFCON itachezwa kwenye huu uwanja!? Yaani nakwambia uwanja huu umechapa kichizi.
View attachment 2947483
Najua ni ignorance uko nayo kwa wingiKwahiyo hakuna registration no ya Kenya? 🤣 🤣 🤣 🤣
Na Ungeweza ona huko kwenye viti. Zizi. Yaani wee ona tu!! Aagh.Huu ni uwanja ama zizi la ng'ombe🚮
Tena lazima huu uwanja unanukaa kinyesi😂😂Hivi AFCON itachezwa kwenye huu uwanja!? Yaani nakwambia uwanja huu umechapa kichizi.
View attachment 2947483
Viti vya Sunday school🤣🤣🤣Na Ungeweza ona huko kwenye viti. Zizi. Yaani wee ona tu!! Aagh.
View attachment 2947496
Hii uppercut umemtembezea lazima apotee miezi miwili. Kazi nzuri Sana umefanya manake mimi posts zake huwa sizisomi ndo maana imenipita.Najua ni ignorance uko nayo kwa wingi
Hio ndio maana hujaleta Precision air. Ulijua utachapwa viboko. Shida hukufanya research kujua kwamba Kenyans own your Tanzanian registered aircraft and airline companies 😂
Sit and learn
View attachment 2947495
Kenya mna uwanja wenye hadhi ya Mkapa??Hivi AFCON itachezwa kwenye huu uwanja!? Yaani nakwambia uwanja huu umechapa kichizi.
View attachment 2947483
Wanasubiri Turubai la msiba huoni washaweka kambi huko kila siku wanahesabu, sie Arusha hatuna habari nayo, sababu kuu hatujawahi feli kwa miradi ya maana.Kenya mna uwanja wenye hadhi ya Mkapa??
HIlo ni carpet la running track umeona pitch au tukuoneshe??
Huo uwanja ume host mashindano makubwa ya CAF.
Hata CAF kukubali Afcon kuwa hosted East Afrika ni kwasababu ya huo uwanja.
Mna mashindano gani makubwa ya Caf mliwahi host?
Huoni tatizo kwa taifa maskini linalotegemea grants (misaada) na mikopo ya shs 5.4T kila mwaka kujaza bajeti kuzamisha ushuru wake wa shs 3.6T kwa biashara ambayo haina faida yeyote kwenye uchumi na mwananchi.Kampuni ambayo bado uwekezaji unaendelea sio Tatizo kubwa, Tatizo liko kwenu wenye ndege tatu chakavu alaf loss iko over 23b ksh kwa zaidi ya miaka 11 munaendesha hasara ikikadiriwa kufika 250b ksh kwa miaka yote ambayo hio pesa unaeza kujenga reli kutoka naivasha mpaka malaba SGR 😂😂😂😂
Wow!… basically Bongolalas are our bitches… never knew that.. I guess we should just call them 254 owned bitches… 🤣🤣🤣🤣90% of Aviation companies in Tanzania ni za wakenya. Hata hiyo ATCL wakilist on stock market wakenya watainunua.
Hii hawalipi parking fees umeitoa wapi!? Lete ushahidi.This airline will never make any profit. Imagine wanatengeneza hasara yet they don’t pay parking fees at any airport within Tanzania contrary to what KQ is doing.
Hamuna habari kwa sababu hamna lolote linalo endelea, wachina walirudi kwao mmebakia na render😄Wanasubiri Turubai la msiba huoni washaweka kambi huko kila siku wanahesabu, sie Arusha hatuna habari nayo, sababu kuu hatujawahi feli kwa miradi ya maana.
Muda huu pale rufiji kuna jitu linaunguruma, na shombo sio vilee.
ATCL is a government owned and your airports are also owned by GOT fully. In short TAA and ATCL is one thing.Hii hawalipi parking fees umeitoa wapi!? Lete ushahidi.
Mchina alisign papers akarudi kwao.Hamuna habari kwa sababu hamna lolote linalo endelea, wachina walirudi kwao mmebakia na render😄
We bwege nn lete hapa mmiliki tuone kama ni mkenya.So unataka iwe na registration no. ya Kenya ndio uamini ni Kenyan owned?
Kujeni muone huyu 😂😂😂😂