Broo, tunaongelea shirika la ndege la EAA. Hilo linahusikanaje na influence unayodhania mlikuwa nayo Kusini mwa Afrika? Kwamba mkipea nchi za Southern Africa uhuru shares zenu zinaongezeka ama unamaanisha nini? Reasoning ya upuzi kama hii naexpect itoke kwa wajinga kama Venus Star ama Toilet boy sio kwako.
Huyo ni Mkenya mmoja na sio Wakenya. Mkenya wa kawaida hana shughuli na yanayofanyika Tanzania. Kumbuka kwamba pia media zenu zinapenda kueneza chuki dhidi ya Kenya ndio maana Jamii Forums imechagua kutaja jina la huyo Mkenya na uraia wake wakati hao wengine hawajatajwa. La pili nikisoma kwa media zote kuu duniani hakuna penye huyo Mkenya ametajwa kama kiongozi wa hayo maandamano. Wanaopotosha ulimwengu ni nyinyi, sio sisi.
Hakuna mahali Wakenya wamesema mlima kilimanjaro uko Kenya. Hakuna msanii wenu ambaye tumesema ni wetu. Hapo kwa Olduvai ni mtoto wa Raila Odinga aliyesema ipo Kenya kimakosa na akakikiri ilikuwa juu ya kutojua ila mmeikwamilia kama gundi. Mlima Kilimajaro unaonekana ukiwa Kenya kuanzia Nairobi Hadi Voi. Uko na views nzuri zaidi ukitazamwa ukiwa mbuga ya Amboseli. (Leo hii naenda zangu Amboseli, ukitaka naweza kupigia picha uone.) Picha nyingi za huo mlima zimepigwa Amboseli na zimepigwa na Watalii wasio raia wa Kenya. Hao Watalii walisambaza hizo picha huko kwao na wakasema zimepigwa Amboseli Kenya (Which is true). Kutokana na hilo, wengi walijua Mlima Kilimanjaro uko Kenya ila sio kwa sababu Wakenya wamepotosha. Hapo kwa wasanii ndio kicheko zaidi. Hivi msanii mgani wa Tanzania tuliyesema ni wetu? Kwani sisi hatuna Wasanii wetu tuseme wenu ni wetu? Acha kunifurahisha bro. 🤣 🤣
Uongo gani? Nani anayesema humu nchi yao ina GDP ya $300B wakati ni $84 Billion? Nani humu anasema hatuna uwezo wa kununua gari mpya wakati Kenya ndio the biggest buyers of new cars in East Africa? Nani humu anasema hapati msaada wakatio anapata msaada kila mwaka? Shida yenu sisi tukileta evidence mnasema ni cooked wakati nyinyi mnasema mambo bila hata evidence.
Hizi za kusema nyinyi ndio nchi tajiri duniani ndio zinareflect hali halisi? Hizi za kusema mnatulisha ndio zinareflect hali halisi? Hizi za kusema bandari ya Dar inahandle cargo nyingi kuliko mombasa ndio hali halisi? Hizi za kusema electricity connection yenu iko juu ya yetu ndio hali halisi? Kama kuna watu wanoishi kwa delusions hii Africa ni nyinyi bro.🤣🤣