much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,065
- 21,548
Sisi hii dose tumewanywesha kwa miaka 25
Talanta ni turubai la msiba.Sisi hii dose tumewanywesha kwa miaka 25
Cause we know how to run.Vp mbona running track tena
Mnafukuza Empty. Wafukuza upepo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Cause we know how to run.
Kwani aliekwambia serekali ndio ilikua inaendeshwa hio mradi ni Nani??😂😂😂Kuendesha ma bus ya BRT imewashinda mpaka imebidi waombe usaidizi kutoka kwa kampuni ya Dubai (ENG), yani kitu ambacho kampuni private ya Kenya inaweza kufanya imeishinda serikali ya Tanzania. Alafu utarajie wanaweza kuendesha biashara ngumu kama ya Avation. Bandari pia nayo imewashinda washaanza kuuza gati moja baada ya nyingine😃😃View attachment 2947458
Around TZS 3.6T (KES 180B) has been spent on its revival so far yet the loss has increased by 61%🤣🤣🤣🤣🤣
Haya madudu haya ya mama haya
View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1773294755557900782?t=TTDFGOI78Y9meGUfKlbw4w&s=19
Kuendesha ma bus ya BRT imewashinda mpaka imebidi waombe usaidizi kutoka kwa kampuni ya Dubai (ENG), yani kitu ambacho kampuni private ya Kenya inaweza kufanya imeishinda serikali ya Tanzania. Alafu utarajie wanaweza kuendesha biashara ngumu kama ya Avation. Bandari pia nayo imewashinda washaanza kuuza gati moja baada ya nyingine😃😃View attachment 2947458
Ujamaa Airlines…🤣🤣🤣🤣🤣This airline will never make any profit. Imagine wanatengeneza hasara yet they don’t pay parking fees at any airport within Tanzania contrary to what KQ is doing.