President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Mpaka hapo sijaona Registration No. ya kenya. Unalazimisha tufanane 🤣 🤣 🤣 🤣
Mpaka hapo sijaona Registration No. ya kenya. Unalazimisha tufanane 🤣 🤣 🤣 🤣
So unataka iwe na registration no. ya Kenya ndio uamini ni Kenyan owned?Mpaka hapo sijaona Registration No. ya kenya. Unalazimisha tufanane 🤣 🤣 🤣 🤣
Kwahiyo hakuna registration no ya Kenya? 🤣 🤣 🤣 🤣So unataka iwe na registration no. ya Kenya ndio uamini ni Kenyan owned?
Kujeni muone huyu 😂😂😂😂
Wacha ujinga, by that time Tanzania ilikuwa na uchumi mkubwa EA alafu iwe na 9% EAC kamuongopee nyanyaako shamba.Hizo ni insecurities zenu. Mbona Uganda wasilalamike?
1. EAC ilivunjwa kisa hakukuwa na maelewano. Huwezi laumu Kenya wakati kutoelewana kulitokea pande zote. Hatukuiba ndege, tulichukua ndege kulingana na shares tulizokuwa nazo. Kwa East African Airways, Kenya ilikuwa na 67.7% shares Tanganyika ikawa na 9% Uganda 22.6% na Zanzibar 0.7%. Ulitegemea tugawane visawa wakati sisi tuna shares nyingi? Cha kushangaza, Waganda ambao walikua na shares nyingi kumshinda hawalalamiki ni nyinyi tu kisa mmeaminishwa na wanasiasa wenu na chuki zenu.
2. Maandamano ya EACOP hayakufanywa na Wakenya, yalifanywa na watetezi wa mazingira. Yalifanyika UK na France. Tena wanasiasa wenu wamemuaminisha ni Kenya. Shida yenu hamuelewi jinsi ulimwengu unavyosonga. Kwa nchi zilizo na uhuru wa kujieleza huwezi jenga mradi wa kiwango hicho na kusikuwe na maandamano ya watetezi wa Mazingira - hapa Kenya kabla SGR ijengwa kulikuwa na maandamano - same na Thika road, Expressway n.k. Miaka ya 1990s, Moi alitaka kujenga jengo refu zaidi Afrika pale Uhuru Park la gorofa 70, wanaharakati waliandamana hadi hilo jengo halikujengwa. The same Moi alitaka kukata misitu wa Karura na Ngong iliyoko Nairobi ili kujengwe majengwa, wanaharakati wakiongozwa na Hayati Pro. Wangari Maathai waliandamana hadi wakapinga na Wangari Maathai alipata Nobel Prize juu ya hayo na akawa mwanamke wa kwanza Afrika kupata tuzo hilo.
3. Sijui unamaanisha nini na kupotosha ukweli. Shida yenu huwa hampendi kukubali ukweli alafu kila kitu mtalaumu Wakenya, sijui mna akili za kitoto ama vipi. World Bank ikitoa ripoti isema Tanzania ni bora kuliko Kenya kwa sector fulani, mtashangilia kila mahali hadi kwa socia media ndio kitu mtaongelea. The same World Bank ikitoa repoti eti Kenya ni bora kwa Tanzania kwa lingine mnaanza eti ooh Wakenya wanapotosha ukweli, ooh wanacook figures waonekane bora kutushinda. Yani huwa mnatia huruma sana.
Wee mwenyewe ukichunguza vizuri kwenye huu uzi walio na chuki ni kina nani? Saa hii tunabanter ni nchi gani itakuwa more prepared for AFCON ila wakati zetu ni banter tu, kwenu ni full chuki hadi mnaomba tukuwe banned ama tusiwe na uwezo wa kuandaa.
Afraha Stadium coming up.
Let's not forget that Tanzania only have one Stadium.
View attachment 2946527
Mbona unalalamika lalamika kama mtoto wa kike, kaza wewe wacha kujilegeza, hii battle mliitaka wenyewe mkidhani sisi size yenu.Broo, kuenda hoteli ya kifahari na kubaguana wapi na wapi? Ukiwa na pesa utaingia hoteli yoyote ya kifahari. Unaona jinsi banter zenu zilivyojaa chuki ndani yake?
La pili unasema nyinyi wote mnaweza enda 5* hotel? Alafu bado unasema banter zenu zinaonyesha hali halisi ilivyo? Huoni kama unajikanganya? Kama nchi tajiri kama Marekani sio wote wanaoweza kuingia 5* hotel wakakula sasa fukara kama Tanzania wanaweza? Huoni aibu kusema haya after kuniambia eti banter zenu zinaonyesha hali halisia? Kenya kuna wapandaji ndege wengi kuliko Tanzania mara nyingi yet most Kenyans can't afford to use air transport halafu hapo Tanzania kwenye mnacheza catch up unaniambia wote wana uwezo? Wacha unafiki bro.
Jitahidi kujifundisha kiswahili.Broo, kuenda hoteli ya kifahari na kubaguana wapi na wapi? Ukiwa na pesa utaingia hoteli yoyote ya kifahari. Unaona jinsi banter zenu zilivyojaa chuki ndani yake?
La pili unasema nyinyi wote mnaweza enda 5* hotel? Alafu bado unasema banter zenu zinaonyesha hali halisi ilivyo? Huoni kama unajikanganya? Kama nchi tajiri kama Marekani sio wote wanaoweza kuingia 5* hotel wakakula sasa fukara kama Tanzania wanaweza? Huoni aibu kusema haya after kuniambia eti banter zenu zinaonyesha hali halisia? Kenya kuna wapandaji ndege wengi kuliko Tanzania mara nyingi yet most Kenyans can't afford to use air transport halafu hapo Tanzania kwenye mnacheza catch up unaniambia wote wana uwezo? Wacha unafiki bro.
Grumeti Air Limited
Grumeti Air | A Refined Flight Experience
Grumeti Air is a small airline operating Serengeti charters and private charters in Tanzania. Higher safety and quality standards. Environmentally friendly.www.grumetiair.com
info@grumetiair.com +255 684 464 716
Grumeti Air LTD, P.O.Box 0 Arusha, Tanzania
View attachment 2946744
Wazee wa kuidumaza TZ hawajambo wanakwambia time ya Organization of East Africa Community tulikua na 9%
View attachment 2946804View attachment 2946805View attachment 2946806View attachment 2946807View attachment 2946808View attachment 2946809View attachment 2946810View attachment 2946811View attachment 2946812View attachment 2946813View attachment 2946814View attachment 2946815View attachment 2946816View attachment 2946817View attachment 2946818View attachment 2946819
This airline will never make any profit. Imagine wanatengeneza hasara yet they don’t pay parking fees at any airport within Tanzania contrary to what KQ is doing.
Kenya Loss vs Tanzania Loss in USD
KQ owned by KLM from NetherlandThis airline will never make any profit. Imagine wanatengeneza hasara yet they don’t pay parking fees at any airport within Tanzania contrary to what KQ is doing.