Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 888
- 1,055
325 used helicopters cost yake ni 3.2b ksh sawa na 57b TSH πππ
Boeing 737 -9 Max brand new cost yake ni 320b TSH sawa na ksh 18b
πππππ April inaingia B787 dream liner brand new ambayo cost yake around 370b+ TSH
June kuna bombardier Q400 brand new inaingia around 27m USD
Juzi tumeingiza brand new, largest and modern ship in east Africa kwenye maji ambayo cost yake ni over 60m USD
Be ready any time from now kupokea joka kutoka south Korea hili ndio litakua pigo kubwa kuwahi kutokea na jiandae kisaikolojia pia ππππ
View: https://youtu.be/K4ql0C_qTWo?si=ZMkbRlJm_EMUyKST
Tuna mambo mengi Sana tunafanya kwa SASA kama nchi nyinyi endeleeni kupanua vipumulio ila muda utaongea ππ
Wewe refugee na huo utumbo wako unadhani helicopter inaweza ikanunuliwa na KES 9M? Saa zingine mnatia aibu.