Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hahaha....
you should go for Stand-up Comedy auditions
[emoji23][emoji23] Kenya wanawaona Watanzania kama Mungu nisiwafiche.. Nakumbuka mwaka 2010 nilienda Kenya ilikua trip ya Shule kwenda Fort Jesus, Tulipitia Tanga Amboni caves then tukapitia Mombasa.. Tulivyofika Nakumat wafanyakaz wote mule walikua wanatuangalia wanashangaa,(tulikua na School uniforms) mpaka kuna limama likanipa namba, mmoja Wa wafanyakaz mule nakumat, Tukaenda beach wakaanza kuwaita wale madem tulioendanao "Malaika Wa Daressalaam"[emoji23][emoji23] nilichoka.. Usione wanabishana tu apa Rohoni wanaikubali sanaaaa Tz.. Na kitu wanachokubali sana ni Kiswahili chetu.. Lugha ambayo inaongoza kuongewa kwenye movie za hollywood ukitoa kifaransa na kihispania[emoji23][emoji23]
 
tuma mbisha ukiwa Fort Jesus ama Beach au Nakumatt yoyote ya Mombasa ukiwa na hao 'Malaika wa Daressalaam' nikuaminie...
 
wait wanasema building gani ati ni 178m? UAP is East Africa's 2nd tallest and it is 163m...
Cvos26LWgAAGWgm.jpg
Cq2ydTvWgAASCSs.jpg
Yaan jumlisha mnara bado TPA ni refu zaid
TPA 178M without mnara
UAP 163 with mnara
BRITAM 140 without mnara
 
tuma mbisha ukiwa Fort Jesus ama Beach au Nakumatt yoyote ya Mombasa ukiwa na hao 'Malaika wa Daressalaam' nikuaminie...
Mbisha ndio Nini ndugu[emoji23][emoji23] Eti hii ndio nchi ambayo inajulikana worldwide inaongea KISWAHILI.. Mlimdanganyadanganya Kikwete kisa alikua mpole maskini ya mungu Mkaiaminisha Dunia kiswahili kinatoka kwenu[emoji23][emoji23] Mkamdanganya tena mkachukua Mlima wazunguu wakaamini Mlima Kilimanjaro uko kwenu daah nyie Kenya mnafaa Kuchomwa moto kama vifaranga vile[emoji23][emoji23] sio kwa zambi iyo.. Ila sasahv kuna chuma cha pua, naskia et hakijui ulaya panafananaje chenyewe kinajua kazi tu[emoji23]
 
bhangi yenye unavuta iko juu
 
RUAHA NATIONAL PARK, TANZANIA named among The 21 Best Places to Visit in 2018 According to National Geographic Traveler’s Editors

NATURE
1. Ruaha NP, Tanzania
2. Albania
3. Jordan Trail, Jordan
4. Jujuy Province, Argentina
5. Madagascar
6. Oahu, Hawaii
7. Seoraksan National Park, South Korea

National Geographic Traveler (six issues per year) is the world’s most widely read travel magazine and has 15 international editions.
 
Aaah kumbe jeshi la Kenya limepokonywa vifaa vyao na Alshabab[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aib kubwa... Sanaaaa.. Ila machiz wara roho mbaya[emoji23] si kodi ya wananchi Wa Kenya iyo wanaikanyagakanyaga apo[emoji23][emoji23]
 
wapi picha ya Malaika wa darslum wakila bata Mombasani???
[emoji23][emoji23]zipo kwenye Album.. Na sidhan km nnazo zote.. Ila nyingi nnazo za fort Jesus.. Kuna sehem hata sikumbuki sijui ni wapi tulipanda KOBE wakubwa kama wewe[emoji23][emoji23] Eb nikumbushe
 
leta picha (ya Malaika wa darslum) la sivyo ii pang'ang'a yote unasema apa ni null & void

Haller Park
 
Sasa unafkir haya yote nimeyajuaje[emoji23].. That was longtime ago.. Mpk nianze kuzitafuta izzo picha.. Its a matter of time subiri kama nikizipata utaziona..
 
Back
Top Bottom