Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,414
- 3,679
'huyo dogo' ako na akili ndefu kukushinda. angekuwa huko kwenu mungekuwa saa ii munamtoa mbio mithili ya digidigi mukitaka kumgeuza supu.Kenya sifa zitawaua.. Sasa huyo dogo mnataka mpaka Trump amuone au... Kapewa airtime utafkiri kawashinda Alshabab..
hashuki ng'o
Satan