ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
😀😀😀 Punguza hasirawewe kwanza uconfirm TPA ni 40 before tuendelee
😀😀😀 Punguza hasirawewe kwanza uconfirm TPA ni 40 before tuendelee
SGR au gari moshi😀😀😀😀ndugu, unadhani nasi tumesimama kimaendeleo? wakati mnamaliza hio SGR yenu nasi tutakua tumesimama tukiwaangalia tu sio?😀😀😀😀
were dar vs nai why bring irelevant staff hereUkitoa mf kwa Africa utaweka nchi gani?usilete uzalendo wa kindezi apa tafadhali
prove hio kwanza ...na uprove 178m..we know 157 m @[tuusan]😀😀😀 Punguza hasira
sgr ni rail standard na hiyo ndio mnajenga pia....fikiria ata kidogo usiogope kufikiriaSGR au gari moshi😀😀😀😀
Nimepata hasira kwa sababu ukikosa kitu cha muhimu kusema huwa unapayuka tu, bora umeongea. Tulikuwa tukiongea mambo ya Nairobi na Nyerere kuitaja kama ulaya kisha unabadilisha mada unaleta strory ya mashamba. Huu ni ugonjwa gani usio na tiba? Ama umesikia naishi juu ya mti? Haya basi nishakueleza niko na hekari kama hamsini hivi, unaweza leta hela nikukatie kipande kidogo ujistiri nayo. na kama hauna pesa heri unyamazeSasa nakwambia ukweli huutaki ndio alisema lakini 80s na leo 2017😀😀😀😀 kwanini unapata hasira hvo nikizungumzia habari ya ardhi😛😛😛
prism tower has already won an award even before its fully complete
Prism Tower. / A+I Design / Abbas S Vohra
kuna siku waliwin award ya brt waliimbaa mwezi mzima(sijataja mtu)

Go aheadWeka ushahidi na kama Hauna potelea mbali.Mnaongoza kwa kupika data kwenye uhalisia hamumo lambda mshindane na somalia au afrika ya kati make tz ni kisiki cha mpingo haikamatiki
Mambo ya "itazalisha" jiwekee Mimi nataka at present what are you producing?Kinyerezi 1 inazalisha 180MW na imeshaanza kazi ya kuzalisha
Kinyerezi 2 itazalisha 240MW ujenzi unaendelea
Kinyerezi 3 itazalidha 400MW ujenzi unaanza mwakan
Kinyerezi 4 itazalisha 600MW ujenzi utaanza baada ya kinyerezi two kumalizika
Unapoongea SGR iko chini ya ujenzi na 1st phase tunaipokea 2019 na itakua one of the modern SGR in africa and the second fastest train in africa kumbuka ni electric train
You simply don't brag about something you don't have. Sisi tunajivunia SGR ambayo inatumika, wewe unajivunia SGR ambayo hata ujenzi haujaanza...who is stupid na si kwa ubaya?Uzuri maendeleo hayajifichi,tena kuhusu sgr bora tu ungemezea maana yetu itapoisha mtalimia meno! !
Umeme soon tutaongeza 500 MW, 240 MW kinyerezi II, zingine za upepo...so hatujalala usingizi,highway nakubalimko vyema but not so far tutakua na yetu japo mchakato haujaeleweka bado
Kama kweli SA ndiyo mfano bora hapa Africa mbona msijilinganishe tu na wao? Mbona mkafungua hii thread kujilinganisha na Kenya. Kenya si nchi ya kulinganishwa na LDC. You should know your lanes, puga!Ukitoa mf kwa Africa utaweka nchi gani?usilete uzalendo wa kindezi apa tafadhali
A-google apate facts? Hataki facts anataka ubishi tu.Google tu. Haichukui hata dakika moja
Nimepata hasira kwa sababu ukikosa kitu cha muhimu kusema huwa unapayuka tu, bora umeongea. Tulikuwa tukiongea mambo ya Nairobi na Nyerere kuitaja kama ulaya kisha unabadilisha mada unaleta strory ya mashamba. Huu ni ugonjwa gani usio na tiba? Ama umesikia naishi juu ya mti? Haya basi nishakueleza niko na hekari kama hamsini hivi, unaweza leta hela nikukatie kipande kidogo ujistiri nayo. na kama hauna pesa heri unyamaze
Ni kweli, That was past...forget History, burry it!Kawaida yako ukibanwa Kwa kona unakosa hoja na kuleta visingizio na vijisababu. whether Nyerere alisema last year au 1920 cha msingi ni kwamba alitamka hayo maneno Mbona tu usikubali yaishe? Halafu story ya mashamba yanatoka wapi? Niko na hekari kama 50 hivi unaeza kuja nikupatie kidogo
SA is the Africa's Largest Economy. And BTW, SA are our big brothers, tumetoka Mbali. Ask them.Nyie wabongo mnapenda sana kuabudu SA sijui ni kwa nini. That's called inferiority complex
ati TPA is 178 manwait wanasema building gani ati ni 178m? UAP is East Africa's 2nd tallest and it is 163m...
![]()
Pwahaha...I think its 158m... hata UAP is tallerati TPA is 178 man