Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha nikueleze polepole uelewe.
1. Talanta exterior is covered with self cleaning ETFE Membrane, Mkapa exterior is ugly concrete AKA Zege.
2. Talanta has folding seats, Mkapa has fixed seats.
3. Talanta has a parking for 3000 vehicles, Mkapa has a parking for 600 vehicles.
4. Talanta is purpose made with no running track inside the stadium giving a better football atmosphere, Mkapa has an ugly running track making the stadium wider and fans seat further from action.
5. Talanta has a fully covered fan section with an extention of transparent ETFE completely protecting fans from rain, Mkapa is almost 70% open.
6. Talanta is way more beautiful.
Elimu Elimu Elimu. Mtu anaongea as if uwanja upo, TUUONE SASA? ushawahi ingia Talanta stadium.

Kwanza nilivyoona hiyo render tu nikajua watafunika kama walivyofunika Amani Stadium.

Usituleteee adjectives nyingi.

Kwanza Mkapa foldable seats zipo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

FIFA SERIES IMEKUNYIMA KWENDA CHOO
FIFA series with dead participant? Who knows Tanzania in world football? Hizo countries zote hapo hakuna mwenye anajua in world football.
 
Kenya has more vehicles of any kind than Tanzania. Be it probox or mercedes S class. The most common vehicle in Kenya is Hilux though, not probox.
Remind him the only automobile they have more than Kenya ni old ones.
 

🤣🤣🤣 No wonder Teargas katuwekea list ya KFC badala ya Picha akila KFC. Alizitoa jalalani.

Joke aside, Hii ni hatari asee mamlaka za Kenya zifanyie kazi wasizembee ukitokea mlipuko wa ugonjwa hao 5k ni wengi kueneza.

USA EMBASSY HAO NDIO WANIHITAJI VIRUTUBISHO
 
Of course Talanta is better than Mohammed V Stadium. Though nasikia wanataka kureconstruct hiyo Mohammed V.

Kuna viwanja vina track na vimehost finali. Hivyo viwanja sijasema ni vibaya ila vingi vyao havifikii Talanta. Halafu nimeweka vitu vingi kwa hiyo list vinavyofanya Talanta iwe bora kuliko Mkapa. Wewe nipe kimoja tu kinachofanya Mkapa iwe bora nihame huu uzi.
Manina asee! Unaongea as IF Talanta tayari imejengwa. Tuione hiyo Talanta unayoiongea.
 
Unafkiri VAR ni kama Kula mutura iliochacha Kwanza unajua investment yake ni bei gani?🤣🤣

Wakat mwengine be serious mzeee
Do you know the price of a 32’’ TV?
Do you know the price of a 4k Camera?

Add their prices alafu utajua that even a bajaj is pricer than it.
 
🤣🤣🤣 No wonder Teargas katuwekea list ya KFC badala ya Picha akila KFC. Alizitoa jalalani.

Joke aside, Hii ni hatari asee mamlaka za Kenya zifanyie kazi wasizembee ukitokea mlipuko wa ugonjwa hao 5k ni wengi kueneza.

USA EMBASSY HAO NDIO WANIHITAJI VIRUTUBISHO
Kumbe mambo ya KFC inawauma? Unataka nikupeleke uko uonje kuku yao?
 
what do tanzanians benefit from defending the low standards of living over there ....dar is suffering from acute planning with explosion of uswazi hovel slums covering 90% of dar,,,,no proper drainage system because hizo nyumba za uswahili hazina piped water .transport pia ni shida despite the brt thing.....tz still in a nutshell has a low development index despite the theatrics over here.
Umeitoa wapi kijana, au unadhani nyie mkiwa na maslums makubwa kila nchi inayo?

Kabla hujatuuliza sisi hilo swali jiulize nyie.
 
FIFA series with dead participant? Who knows Tanzania in world football? Hizo countries zote hapo hakuna mwenye anajua in world football.
Enjoy 🤣🤣🤣🤣👍👍👍
FB_IMG_1711029686240.jpg
 
Do you know the price of a 32’’ TV?
Do you know the price of a 4k Camera?

Add their prices alafu utajua that even a bajaj is pricer than it.
Nakuuliza swali unajua cost ya VAR ??🤣🤣

Hzi ni TV za inch ngap 🤣🤣🤣 Kwan kama hujui ukiulizwa utachekwa au??
Screenshots_2024-03-21-21-42-27.png
 
Back
Top Bottom