Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia upost hile video ya Azam where they are using Digital TVs, ama unaogopa tena kuipost after nimekuambia wanatumia TV za kawaida?

Show us Tanzanian VAR room nataka kucheka kidogo.
Na kwa taarifa yako Azam TV ameshanunua mobile VAR kwa ajili ya ligi yetu msimi ujao na kwa taarifa Tu nikupe TFF watapokea VAR zisizopungua 3 hvi karibuni

😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Na kwa taarifa yako Azam TV ameshanunua mobile VAR kwa ajili ya ligi yetu msimi ujao na kwa taarifa Tu nikupe TFF watapokea VAR zisizopungua 3 hvi karibuni

😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Sema Azam washanunua Digital TVs.
 
Hawa ndugu zetu ni matatizo wanaishi maisha fake sana, Imagine render ishakua uwanja tayari na inalinganishwa na vitu vilivyopo.
Ukiona mtu anashangilia render jiulize Sana🤣
Wanawivu Sana na hvi tunawapelekea Moto muda wote ndio kabisa

Kama MTU anapost picha Barabara inajengwa tena BRT phase 3 imejaa maji anashangilia ww huniulizi Tu😆😆😆😆
 
Ila Sasa Dom wajenge uwanja wa angalia watu 60,000-100,000 na uwe multipurpose kama malls,kumbi za michezo na wanaweza unganisha na arena pembeni, sehemu za mapumziko nk.
Hata wa 30,000 its fine kwani pia ule uwanja wa dodoma wa SASA hvi utafanyiwa renovation kubwa Sana according to karia (TFF)
 
Tanzania kuna njaa kila mahali. Watoto wanapewa chakula kidogo na ndio maana USA waliwaletea msaada wa chakula.

1711047720918.jpg
1711047709276.jpg
 
Back
Top Bottom