Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeona hizo bs zao. Kwahio wanataka delegation itoke Dar iende Arusha kusaini mkataba halafu warudi Dar? Hata kampuni itakayojengq HQ zake zitakuwa Dar.
Nishasema kuwaibia Wakunya ni rahisi. Alafu baadae wanaenda twitter kulalamika serikali yao inakuala pesa, wakati wenyewe ndio wanataka kila kitu kiongozi wa juu afike site hata kama ipo 600km
 
Uambiwe 1+1=2 useme huelewi alafu bado unangángána uelezwe? Alafu wee mwenyewe lijizee lizima akili huna. Kweli wewe mpumbavu.

View attachment 2939794
Huyu si Dr Mauki (PhD)? au mna maanisha nn?
Screenshot_20240320-162058_Google.jpg
 
Angalia hii mbuzii. Eti nisijue Hiace ni gari gani. Nyie Wakenya kwenye hii thread kama hamjatoka vijijini mmekulia kwenye umaskini sana. Kuna mpumbavu mwenzio humu alikuwa anasema kuna mtu hajui router ni nini? SMH
Wanashangaza me mwenyewe hapa ni Graphics Designer, means nabrand vehicle.

Huyo mpuuzi nimejaribu nimeona niachane nae na wanakuja kujitapa kabisa elimu yao ina bajeti kubwa. Alafu huyo anaweza kuvumiliwa.

Ila yule mpuuzi aliyekomaa na Dualis ya 2001 anyongwe.
 
Hawa hawajuangi majina ya magari. Wanangoja utaje jina alafu google kuisearch and thrn thry come kupingana na wewe ni kama wanajua anything kumbe ni watu nunge. I saw it yesterday when I mentioned Nissan Dualis, the likes of Ichoboy walikimbilia google kujua hiyo ni gari gani.
Mmeona wanangu, kuna fyuzi zimetoboka kwa hawa ndugu either wana ID zaidi ya moja, or wote ni wapumbavu.

Hapa kanajisifia na kanamsifia mwenzake wakati wote walitoa Maboko.
 
Back
Top Bottom