Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo ni hiace au coaster??
Ulileta pic ya hiace ukaambiwa ni ya zamani mbona unachanganya mada??
Hii hapa ndio mlisema ni Hiace bongolala. Fuatilia mada
1710668835490~2.jpg
 
Angalia hii mbuzii. Eti nisijue Hiace ni gari gani. Nyie Wakenya kwenye hii thread kama hamjatoka vijijini mmekulia kwenye umaskini sana. Kuna mpumbavu mwenzio humu alikuwa anasema kuna mtu hajui router ni nini? SMH
Umasikini? We all know Mahali umasikini umekithiri uknda huu wala usijifanye hujui.

Back to the topic, kubali tu hujui coz that's not even a Toyota vehicle nio iitwe Hiace. That's a Nissan
 
Umasikini? We all know Mahali umasikini umekithiri uknda huu wala usijifanye hujui.

Back to the topic, kubali tu hujui coz that's not even a Toyota vehicle nio iitwe Hiace. That's a Nissan
UMasikini umekithiri sana Burundi ikifuatiwa Congo na Kenya kiuhalisia sio kimakaratasi.
Kama unabisha tulijadili hili.
Aya hivyo vi mini van vinafanya nini mjini karne hii!?
 
Hebu ngoja twende taratibu huyu ni ww au kuna MTU Ali hack ACC yako?? Naomba jibu Kwanza alaf tuendelee🤣🤣🤣🤣

View attachment 2939334
I was responding to your fellow kilaza who asked what a "Hiace" vehicle is doing in town.

Later he said that's a long time ago(2006) na eti Kwa sasa haziko Dar. To prove to him that he was wrong I showed him pictures of those vehicles alongside brt buses ndio nikamuuliza kama 2006 mlikuwa na brt. Umesikia Mahali huu mjadala ulianzia kenge?
 
Hawa hawajuangi majina ya magari. Wanangoja utaje jina alafu google kuisearch and thrn thry come kupingana na wewe ni kama wanajua anything kumbe ni watu nunge. I saw it yesterday when I mentioned Nissan Dualis, the likes of Ichoboy walikimbilia google kujua hiyo ni gari gani.
Hawa watu wanapenda ubishi za kijinga sana. Since when did Nissan start manufacturing Hiace vehicles? Ama Toyota waliwauzia hiyo trademark na Sina habari?!
 
Back
Top Bottom