Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Typical Lamu Traffic , 1st Frame😂

View attachment 2939104
Kitu huwez amini punda wa lamu wanakimbia Sana zaidi ya SGR Yao coz Naskia punda mpaka wamefungiwa speed governor mwisho ni 160km/hr but wanakimbia hio speed baada ya Kula hii kitu🤣🤣🤣🤣👇👇👇

Screenshots_2024-03-19-18-23-21.png
 
Uwanja kama huu wenye running track kwa mkoa wa Arusha ni kitu kizuri sana. Umekaa kimkakati sana, hasa katika masuala ya utalii. Msishangae kuona international sports nyingi zinazoshirikisha EAC, Africa au Dunia nzima zitakuwa zinafanyika hapo Arusha.
Mnacheka uwanja una running track, wakat sisi tuna mikakati yetu
Arusha rarely inatoa timu kushiriki ligi kuu so i get the point why ni 30k , na pia ina running tracks. Ndo actually wakimbiaji wengi hutokea mikoa ya pande za huko. So multipurpose inaeleweka
 
Uwanja kama huu wenye running track kwa mkoa wa Arusha ni kitu kizuri sana. Umekaa kimkakati sana, hasa katika masuala ya utalii. Msishangae kuona international sports nyingi zinazoshirikisha EAC, Africa au Dunia nzima zitakuwa zinafanyika hapo Arusha.
Mnacheka uwanja una running track, wakat sisi tuna mikakati yetu
You already have stadiums with running tracks, when are you going to have a football-specific stadium to give you the exciting football environment?
 
nahurumia hii tz na pressure...lol.Ile ya dodoma ambayo king of morocco alijitolea kujenga ilifika wapi....tulionyeahwa renders 2017 sahii tuko 2024
Hiyo ya Dodoma hadi contract signing ilifanyika tu kama ya leo, tena mbele ya Makufool. Leo hii bado ni dream.
 
You already have stadiums with running tracks, when are you going to have a football-specific stadium to give you the exciting football environment?
One of the ground with great football atmosphere in Africa is BM stadium which has running track. That's why inaugural AFL game was played there. What exciting atmosphere are you talking about? From what experience in Kenya football? Gor Mahia vs Afc Leopard?
 
Back
Top Bottom