NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,395
- 17,975
Wachia walio na uwezo wakuelewa wajibu. 😎 😉Sijaelewa lengo lako hapa. 🤣 🤣 🤣 Hakika upo desperate
Wachia walio na uwezo wakuelewa wajibu. 😎 😉Sijaelewa lengo lako hapa. 🤣 🤣 🤣 Hakika upo desperate
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaumia ukiwa wapi kijana?Yes, under construction sir. Sio hizo zenu za makaratasi.
Wewe eleza lengo lako ni nini mzee. Unaogopa? 🤣🤣🤣🤣 This is public discussion au Mama Ngina kakukatanza kutoa maelezo?Wachia walio na uwezo wakuelewa wajibu. 😎 😉
www.khelnow.com 😅😅😅 ndio source yakoAFCON FINALS itakua ndani ya TALANTA STADIUM wapende wasipende, that has been sealed. 😂 😂 👇 👇 The only proper football stadium in the region.
![]()
Ulinzi stadium iko na standard za FIFA au CAF?🤣Tuta, ita, wata ×2
Wata, ita, tuta ×2
Ulinzi Club already has a stadium better than any stadium in Tanzania apart from Mkapa
Better thank the render . and as we speak Benjamin Mkapa is the only Modern stadium in the entire region.
Do u own expressway ??🤣🤣🤣 Wenye Mali Yao wako kimya wametulia na wameajiri mpaka watu wao kwenye nchi yenu na hakuna gari ya mkenya itapita bure bila kumlipa mchina, how do u feel now?Expressway pia mliongea tu upuzi but whose laughing now
Uambiwe 1+1=2 useme huelewi alafu bado unangángána uelezwe? Alafu wee mwenyewe lijizee lizima akili huna. Kweli wewe mpumbavu.Wewe eleza lengo lako ni nini mzee. Unaogopa? 🤣🤣🤣🤣 This is public discussion au Mama Ngina kakukatanza kutoa maelezo?
Expressway ndio takataka gani!Expressway pia mliongea tu upuzi but whose laughing now
Better thank the render . and as we speak Benjamin Mkapa is the only Modern stadium in the entire region.
Behold : this is one of the biggest continental matches between Simba Sc and Al Ahly. Tazama namna Benjamin Mkapa iko modern from the inside to outside. FYI: Opening and Finals of the AFCON 2027 will take place in Dar es Salaam. Mind you Ben Mkapa stadium is now under $15m renovation. Yaani pesa zile mnajengeaga zile bukungu grazing grounds , 10 bukungus sisi tunakarabatia kiwanja kimoja. Qmmke
View: https://youtu.be/k1DALsJTImA?si=QU7ES__unmn4Djh8
Hicho kichwa kinakaa malenge. 🤣 🤣 🤣Uambiwe 1+1=2 useme huelewi alafu bado unangángána uelezwe? Alafu wee mwenyewe lijizee lizima akili huna. Kweli wewe mpumbavu.
View attachment 2939794
Better thank the render . and as we speak Benjamin Mkapa is the only Modern stadium in the entire region.
Behold : this is one of the biggest continental matches between Simba Sc and Al Ahly. Tazama namna Benjamin Mkapa iko modern from the inside to outside. FYI: Opening and Finals of the AFCON 2027 will take place in Dar es Salaam. Mind you Ben Mkapa stadium is now under $15m renovation. Yaani pesa zile mnajengeaga zile bukungu grazing grounds , 10 bukungus sisi tunakarabatia kiwanja kimoja. Qmmke
View: https://youtu.be/k1DALsJTImA?si=QU7ES__unmn4Djh8
Mzee sometimes tuwe serious , hapa mnajenga nini ? Hii project inafika $1m?. Imagine we are renovating Benjamin Mkapa Stadium at $15mYes, under construction sir. Sio hizo zenu za makaratasi.
na bado mnaabiri gari through the window,,,heheheExpressway ndio takataka gani!
The same Tanzanian government whose budget is 41% aid? Don't make me laugh. Anyway, Talanta stadium is already under construction, show us Arusha stadium updates.
View attachment 2939703
View: https://www.instagram.com/reel/C4tOA-KtAgJ/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==
Uwanja una sura mbaya upo kama beseni la sewageNapenda vile on one side, wanajipiga vifua with fake smiles eti kijiwanja chao cha 30k capacity ni kizuri kushinda wetu wa 60k capacity with self-cleaning facade. Upande mwengine, wanaomba uwanja wetu usijengwe jinsi ulivyo kwa render. Yani wanatapatapa ni kama wanazama majini hawana pa kutokea. 😂 😂
Don't look at the cost, look at the product. Si huwa mnatuambia sisi tunapigwa? Sasa this time ni nyinyi mnapigwa. The final product will be like this...................which is better than anything in Tanzania currently outside Dar.Mzee sometimes tuwe serious , hapa mnajenga nini ? Hii project inafika $1m?. Imagine we are renovating Benjamin Mkapa Stadium at $15m
Boss football is investment, not some jocking around. Kwenye soka sisi tumeweka hela , ndio maana unaona wachezaji wa huko kenya wanaota kuja kicheza Tanzania. TZ premier league is now ranked 5th in the continent.
I take this as a Joke 😀😀😀