Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Umeitizama hii video vizuri??
Mashambulizi yametokea hizo pande na kilichotokea ni askari 11 wa SADC kuumia na wawili wa MONUSCO kufa.
Ila adui hajafanya advancement yeyote na katika hilo eneo unaona wanajeshi wa Congo na majeshi mengine wametawala.
UWE UNATIZAMA HABARI KABLA HUJA POST.
NA KUNA KAMBI YA TPDF HAIJAGUSWA KATIKA AMBUSH ILIYOTOKEA.
 
Serikali yenu haina hata pesa ya kujenga choo
Unaongelea Tanzania ama Kenya?

I'm sure hata choo unatumia imejengewa na wazungu.

1710926309125.png
 
The most modern stadium in East Africa currently is Amahoro Stadium in Rwanda. The most modern stadium in East Africa by 2026 will be Talanta Stadium in Kenya. Chukua karatasi aundika haya na ubandike sebuleni mwako. Utakuja kunishukuru.
Unaota wewe.
Kama amaharo ingekua most modernized basi mashindano mengi yangefanyika kule.
 
Loan is not aid, hujui hata difference, enyewe ndio kwa maana wewe ni primary school dropout.
Loan tunajilipia sisi wenyewe inawauma haga hadi wanapagawa...hahaha.Loan huwa unapewa kama unaqualify.They are screaming about loan na juzi air tanzania ililemewa kulipa deni kidogo sana ikawa impounded in South Africa .Daresalaam port pia mlishauzia some Dubai tycoon and you are here saying "tunajenga na pesa yetu"thats the best award winning hogwash.
 
Back
Top Bottom