Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hapo ndio mwisho wa hilo jengo bring a link that state it as 10 floors..alafu times tower hs 38 floors dude
Tuoneshe bro nasubiri😀😀😀

So kwa akili yako unaona hilo jengo linaendelea ndio watu wa skyscrapercity wanavokudanganyeni hvo😛😛 jengo hilo halijafikisha hata 30floors utake usitake
 
Kwa sasa tunatoa 1750MW
Tuko mbioni kuongeza zaidi ya 2100MW in three 3yrs to come

Najua mko na 2500MW +-

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Simamia hapo 1750 megawatts hiyo ingine ni futuristic na pia Kenya iko na such plans sio Tz peke yake. Kwa sasa kubali Kenya inaproduce more electricity than Tz, Kenya iko na SGR Tz Haina, Kenya airways best in Africa Tz haipo hapo, Superhighways in Kenya Tz hamna hata moja etc etc.
Asiyekubali kudhindwa ni Mtanzania wakati hana anything to show hata kiuchumi Kenya inaongoza ukanda wa afrika ya kati na mashariki with facts.
 
Mnaongoza kwa kupika data kwenye uhalisia hamumo lambda mshindane na somalia au afrika ya kati make tz ni kisiki cha mpingo haikamatiki
 
Simamia hapo 1750 megawatts hiyo ingine ni futuristic na pia Kenya iko na such plans sio Tz peke yake. Kwa sasa kubali Kenya inaproduce more electricity than Tz, Kenya iko na SGR Tz Haina, Kenya airways best in Africa Tz haipo hapo, Superhighways in Kenya Tz hamna hata moja etc etc.
Asiyekubali kudhindwa ni Mtanzania wakati hana anything to show hata kiuchumi Kenya inaongoza ukanda wa afrika ya kati na mashariki with facts.
Kinyerezi 1 inazalisha 180MW na imeshaanza kazi ya kuzalisha
Kinyerezi 2 itazalisha 240MW ujenzi unaendelea
Kinyerezi 3 itazalidha 400MW ujenzi unaanza mwakan
Kinyerezi 4 itazalisha 600MW ujenzi utaanza baada ya kinyerezi two kumalizika

Unapoongea SGR iko chini ya ujenzi na 1st phase tunaipokea 2019 na itakua one of the modern SGR in africa and the second fastest train in africa kumbuka ni electric train
 
Simamia hapo 1750 megawatts hiyo ingine ni futuristic na pia Kenya iko na such plans sio Tz peke yake. Kwa sasa kubali Kenya inaproduce more electricity than Tz, Kenya iko na SGR Tz Haina, Kenya airways best in Africa Tz haipo hapo, Superhighways in Kenya Tz hamna hata moja etc etc.
Asiyekubali kudhindwa ni Mtanzania wakati hana anything to show hata kiuchumi Kenya inaongoza ukanda wa afrika ya kati na mashariki with facts.
Uzuri maendeleo hayajifichi,tena kuhusu sgr bora tu ungemezea maana yetu itapoisha mtalimia meno! !

Umeme soon tutaongeza 500 MW, 240 MW kinyerezi II, zingine za upepo...so hatujalala usingizi,highway nakubali [emoji122] mko vyema but not so far tutakua na yetu japo mchakato haujaeleweka bado
 
ndugu, unadhani nasi tumesimama kimaendeleo? wakati mnamaliza hio SGR yenu nasi tutakua tumesimama tukiwaangalia tu sio?😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom