Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli, That was past...forget History, burry it!
wakati nchi zetu zinapata Uhuru Nairobi were already built by Muzungu, that means unlike Nairobi, Dsm is 100% built by Tanzanians.. And now as we speak dar imeshaovertake Nai,
And fyi, the dsm u see today we've built it only in the past 10 years, imagine whats gonna happen for the next 10 years???
Dadeq tafuteni kwa kujificha,
History mean nothing,
Hahahaha, this is the funniest post I have read in a while...you have every right to dream.
 
tulia wacha kulia lia....hapa hamna Times towers😛😛😛, hamna KICC hamna Lornho, hamna I&M...
Na ni bora hazikuwekwa maana Ni dwarf hazina nafasi apo....though ndio ambazo ziliwah tamba uko Kenya before millenium tower,Rita tower,Uhuru heights,na wale wajomba wenu pendwa siwataji
 
Na ni bora hazikuwekwa maana Ni dwarf hazina nafasi apo....though ndio ambazo ziliwah tamba uko Kenya before millenium tower,Rita tower,Uhuru heights,na wale wajomba wenu pendwa siwataji
majengo ya Kariakoo ndio unatuambia...Pwahahaha...Nai sio ligi yenu bro😀😀
 
75 Billion...haya fananisha na 47 Billion ya LDC😀😀😀
Hamna kitu kama hicho, hiyo $75b kina William Ruto wanawachezea, nyie mpo kwenye $50bn, that's the reality,
Juzi hapa mnashindwa hata kulipa deni dogo la $700nm halafu eti 75bn
Hamuwezi hata kujenga barabara ya 10km kwa hela zenu,
Kenya is a poor country, na IMF wamewaonya, mtakuwa kama Ugiriki soon.
 
majengo ya Kariakoo ndio unatuambia...Pwahahaha...Nai sio ligi yenu bro😀😀
Hamna nyumba ndefu kariakoo wala,kule kulishajaa nyumba labda wavunje waanze kujenga vipasua anga kitu ambacho sio plan yake
 
Hamna kitu kama hicho, hiyo $75b kina William Ruto wanawachezea, nyie mpo kwenye $50bn, that's the reality,
Juzi hapa mnashindwa hata kulipa deni dogo la $700nm halafu eti 75bn
Hamuwezi hata kujenga barabara ya 10km kwa hela zenu,
Kenya is a poor country, na IMF wamewaonya, mtakuwa kama Ugiriki soon.
Pole kwa hasira...GDP ya 75Billion isikufanye ujiharie😀😀😀 pambaneni na hali halisi ya u LDC
 
Hamna nyumba ndefu kariakoo wala,kule kulishajaa nyumba labda wavunje waanze kujenga vipasua anga kitu ambacho sio plan yake
sawa ila tulia...hasira hasara..umemtusi jamaa innocent mavi😀😀haijafikia hapo
 
sawa ila tulia...hasira hasara
Usilete i &m apa kajumba kafupi zungumzia ata prism though mnatudanganya kua ni flr 34 lakin habar za ndani hua sio kweli sijui kwann hamjawah kua wawazi ata kwa swala dogo
 
Ok, Imagine mko na $100bn,
Then you are still poor, isn't it?
we are still poor yes but what are you? LDC...cha muhimu ni kuwa uchumi wetu wa $75B ni mkubwa kuliko wenu ilhali Kenya ni nchi iliyo kavu na pia ni nchi iliyo na watu wachache kuliko tz
 
You simply don't brag about something you don't have. Sisi tunajivunia SGR ambayo inatumika, wewe unajivunia SGR ambayo hata ujenzi haujaanza...who is stupid na si kwa ubaya?
SGR ujenzi haujaanza??? Bangi unayovuta sio ya nchi hii..
 
prove hio kwanza ...na uprove 178m..we know 157 m @[tuusan]
Sio ni proove inaeleweka hvo 40fl 178m utake usitake ila habari ya kutuambia mlijenga over 30Fl tokea 90s hatutokei nigeria sisi wabongo😀😀😀
IMG_1213.PNG
 
Back
Top Bottom