mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,781
- 6,481
Ndio sababu yao kubwa kuwa Kenyan section ya JF kujaribu kujilinganisha nasi knowing very well ligi yao ni kina Central African Republic ama Chad.Nyie wabongo mnapenda sana kuabudu SA sijui ni kwa nini. That's called inferiority complex