Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

w1920.jpg
kicc.jpg
 
You simply don't brag about something you don't have. Sisi tunajivunia SGR ambayo inatumika, wewe unajivunia SGR ambayo hata ujenzi haujaanza...who is stupid na si kwa ubaya?
Wewe ndiye stupid, who told u ujenzi haujaanza ?
And FYI, your SGR is oldy and overpriced,
Hamna chenu hapo, its 100% Chinese owned.
 
Kama kweli SA ndiyo mfano bora hapa Africa mbona msijilinganishe tu na wao? Mbona mkafungua hii thread kujilinganisha na Kenya. Kenya si nchi ya kulinganishwa na LDC. You should know your lanes, puga!
SA is a developing country,
Kenya is a Poor country, just Like Tz.
We compare the likes.
 
Nigeria is Africa's largest economy...chanuka buda...yaani SA mnaiabudu kana kwamba ni Mungu..
Usifananishe SA na nchi za Kijinga kama Nigeria,
Nigeria is a poor country with $550bn GDP of which huwa sielewi wanapelekaga wapi hela,
Nchi yenye watu maskini na poor cities,
Man Nigeria is A joke.
 
Kama kweli SA ndiyo mfano bora hapa Africa mbona msijilinganishe tu na wao? Mbona mkafungua hii thread kujilinganisha na Kenya. Kenya si nchi ya kulinganishwa na LDC. You should know your lanes, puga!
Tunawaweza ninyi mavi kunuka mna nn tuwaogope
 
Wewe ndiye stupid, who told u ujenzi haujaanza ?
And FYI, your SGR is oldy and overpriced,
Hamna chenu hapo, its 100% Chinese owned.
Weka hiyo yenyu hata sisi tuone. Kama Hauna kitu kubali Hauna...better half a loaf of bread(SGR Kenya) than none(SGR Tz none).
 
you should differentiate between SGR and a locomotive
Both of them are oldy and 100% Chinese owned, hamjaweka hata mia hapo na mnasubiri kukamuliwa deni na wachina, Reli ya kizamani matreni ya Kizamani speed 70km/h,
Dunia sasa I nafikiria kutumia clean energy wengine 2017 wanaagiza magarimoshi !
Ooh, what a failed country
 
TUMIA AKILI ...trains can be changed anytime...the rail will stay for hundreds of years...punguza wivu pia...ama utuoneshe hio yenu ya umeme😀😀😀😀leta picha tuone😀😀
 
Back
Top Bottom