Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaanza taratibu tutaelewana tu. Wati wakenya wakisumbuka kuwaomba mataifa mengine yaende kwao free sisi tunajenga nchi yetu. Na lazima uingie kwa kiingilio na utuambie unakaa baada ya muda gani.

DPvHrtuWAAAH9Qy.jpg

Sema jengo moja refu...majengo marefu yako SA, Na kama ilikua hujui Durban wanaproject ya kujenga tallest tower flr 88 izo ni chai Za kukuzima tu...

Meanwhile Tz tuko Na project ya kujenga bwawa lakugenerate 2100 MW za umeme!! Nadhan iyo ni 85% ya umeme wote wa Kenya kwa sasa
wacha kuongelea kuhusu vitu viko proposed.... tunataka vitu already viko on the ground, running.

by the time wakianza ujenzi wa 88flr, sisi tutaanza 100flrs
 
duh! wewe kweli t-time alikupagawisha
 
Cha kushangaza ni kwamba huo mji mchafu ndio baba wenu wa taifa Kambarage Nyerere alitumia kama mfano akiwaambia nyie wabongolala kwamba mkitaka kuona au kwenda ulaya, hakuna haja ya kupanda ndege kwenda ulaya, ulaya iko tu hapa Nairobi. Wakati mmeanza maendeleo juzi, sisi tulianza hizo enzi while you still buried your heads in the sand in the name of ujamaa
Alitumia mwaka 80s 😀😀😀😀 tena washukuruni wakoloni na bado ndio wameshikilia mashamba makubwa yote kenya mpaka dunia inasmama😛😛
 
wacha kuongelea kuhusu vitu viko proposed.... tunataka vitu already viko on the ground, running.

by the time wakianza ujenzi wa 88flr, sisi tutaanza 100flrs
Where are they tuoneshe 😀😀😀😀😀
Over 33 fl hamuna munawaza 100 😛😛😛
 
Sema jengo moja refu...majengo marefu yako SA, Na kama ilikua hujui Durban wanaproject ya kujenga tallest tower flr 88 izo ni chai Za kukuzima tu...

Meanwhile Tz tuko Na project ya kujenga bwawa lakugenerate 2100 MW za umeme!! Nadhan iyo ni 85% ya umeme wote wa Kenya kwa sasa
inaitwaje hiyo project wewe na wewe unaonaga SA as if ni binguni
 
Alitumia mwaka 80s 😀😀😀😀 tena washukuruni wakoloni na bado ndio wameshikilia mashamba makubwa yote kenya mpaka dunia inasmama😛😛
Kawaida yako ukibanwa Kwa kona unakosa hoja na kuleta visingizio na vijisababu. whether Nyerere alisema last year au 1920 cha msingi ni kwamba alitamka hayo maneno Mbona tu usikubali yaishe? Halafu story ya mashamba yanatoka wapi? Niko na hekari kama 50 hivi unaeza kuja nikupatie kidogo
 
Sema jengo moja refu...majengo marefu yako SA, Na kama ilikua hujui Durban wanaproject ya kujenga tallest tower flr 88 izo ni chai Za kukuzima tu...

Meanwhile Tz tuko Na project ya kujenga bwawa lakugenerate 2100 MW za umeme!! Nadhan iyo ni 85% ya umeme wote wa Kenya kwa sasa
Hahahaha mwaka gani huo? He kwa sasa mnaproduce kiasi gani ukilinganisha na Kenya? ...Hahahaha na usijibu ukitokwa na povu leta Facts backed by data si domo domo...hahahaha.
 
Nyie wabongo mnapenda sana kuabudu SA sijui ni kwa nini. That's called inferiority complex
Sasa wewe mbona unaupuuzi ilhali unaujua huo ndio mfano halisi? Hamna iyo sifa najua mliitaka sana ,ni ukwel usiopongika sa mimi kuitaja inafit kwenye mazungumzo yale kama umeumia sana unstall jamii forum

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha mwaka gani huo? He kwa sasa mnaproduce kiasi gani ukilinganisha na Kenya? ...Hahahaha na usijibu ukitokwa na povu leta Facts backed by data si domo domo...hahahaha.
Kwa sasa tunatoa 1750MW
Tuko mbioni kuongeza zaidi ya 2100MW in three 3yrs to come

Najua mko na 2500MW +-

Back
Top Bottom