Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Imani potofu.Mashoga waliojaa mitaani walikula mchele wa USA?

Japo ni muhimu kuulizawaliopokea Msaada ni Kwa lengo gani hasa? Maana hatuna njaa
Imani potofu unaijua ww ikiwa mzungu anakwambia bila kubali ushoga hupewi msaada wala mikopo bado unataka elimu ya chuo kikuu kujua Adui yako ni Nani😅😅
 
Na issue sio kuendeleza, issue ni Nani katika Marais wote waliopita alikua anauthubutu wakuanzisha mradi mkubwa kama huo ambao ulipigwa vita na wazungu kwa kutulia kivuli cha UNESCO 😅😅😅

Mumesahau wakat ujenzi unaanza wazungu walitunyima mikopo na bado UNESCO wakaja juu Sana kua tusijenge bwawa au Leo hii ushasahau 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Uthubutu wa mwamba kujenga bwawa Hilo ambalo liliwashinda viongozi wengi Sana waliopita SASA nashangaa ww Leo unashangaa mradi kuendelezwa na ni lazma mradi uendelezwe sio ombi😅😅😅

hakuna mtanzania mjinga SASA hvi
 
Kwani ni lazima bwawa Hilo lingejengwa kupata umeme? Hakuna Cha uthubutu,too expensive than reality.

Mimi ningekuwa Rais nisingejenga Hilo bwawa ningefanya option nyingine kabisaa.

Mwisho Samia ndio amefanya kweli,mambo ya uthubutu kwenye bwawa alianzisha Nyerere na yule mhandisi wa Kijerumani bwana Stiglerz, wengine ni uendelezaji tuu akiwemo Magufuli.

View: https://www.instagram.com/p/C4jAFNZMRDp/?igsh=cWpkNTkwcXIweXRv
 
Imani potofu unaijua ww ikiwa mzungu anakwambia bila kubali ushoga hupewi msaada wala mikopo bado unataka elimu ya chuo kikuu kujua Adui yako ni Nani😅😅
Acha ujinga na utoto,Kwa hiyo Tzn ilikuwa inahitaji Mchele huo Ili wewe na wengine muwe Mashoga au?
 
Kwani ni lazima bwawa Hilo lingejengwa kupata umeme? Hakuna Cha uthubutu,too expensive than reality.

Mimi ningekuwa Rais nisingejenga Hilo bwawa ningefanya option nyingine kabisaa.

Mwisho Samia ndio amefanya kweli,mambo ya uthubutu kwenye bwawa alianzisha Nyerere na yule mhandisi wa Kijerumani bwana Stiglerz, wengine ni uendelezaji tuu akiwemo Magufuli.

View: https://www.instagram.com/p/C4jAFNZMRDp/?igsh=cWpkNTkwcXIweXRv

Hilo bwawa lilikua lijengwe toka kipindi cha mwinyi 😅😅😅 issue ni uthubutu hata serekali kuhamia dodoma ilitakiwa ianze kipindi cha mwinyi au umesahau bwana ndogo😅😅😅😅

Ndio maana hujawai Rais kwasababu ww ni kichaa 😅😅😅 kuendeleza mradi ni lazma sio ombi

Nyerere alikua na idea hio na alitamani lakini waliofata wote walishindwa akaweza mwamba so kwa SASA hakuna mtanzania mjinga, nimemaliza
 
Hua wanadanganya eti hizi daladala haziko dar is a slum. 😂 😂 😂

Image
 
Huyo dogo aka chawa ana mtindio wa ubongo wala huhitaji elimu ya mlimani rais yupi kafanya kitu flani kwanza ujue bila JPM kuwa rais na maushungi kuwa makamo wake na JPM akafariki maushungi akawa rais kikatiba bila hivo huyo mam ake angekuwa rais wa wapi au TFF
Bila JPM serikali isingahamia Dom
Bila JPM bwawa la Nyerere lisingekuwepo
Bila JPM Atcl haingekuwepo
Bila JPM SGR haingekuwepo
Bila JPM daraja show off lingekuwepo
Bila JPM magufuli bus terminal hakuna
Bila JPM upanuzi wa bandari tungeyskia
Bila JPM Ecop tungeiskia tu
Bila JPM kibaha high way ni kenye makaratasi
Wala huhitaji nguvu kubwa sana kusema ssh kafanya nn tunafaham anachokifanya kizuri kwangu mm ni
Bbt aslimia kubwa ni mwendelezo wa misingi ya mtangulizi wake hayati JPM
Hayo ni baadhi ila ni mengi sana

Back
Top Bottom