Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Okay hata mtu aliyepungukiwa fikra anaweza kuchagua. Bwana The best 007 tafadhali chagua moja. Ni wakazi 2.5 million ama ni 80% ya wakazi wa Nairobi. Ama unamaanisha 2.5 million people ni 80% ya wakazi wa nairobi?
Umechanganyikiwa
Ww unajua kwann kibera ndio worse slum on planet🤣🤣🤣 Nani leo hajui kwenye dunia hii kama kibera ndio the largest worse urban slum on earth, Nani hajui bro?

Ohh kuna ukweli gani utabadilika hapo watu wanaishi mazingira hata nguruwe hawez ishi na Huko hapa kutete upuuzi

Na sio uongo kua kibera ina over 2.5m people achilia slums zingine zaidi ya 40
 
Your opinion doesn’t matter bila facts my friend. Wachana na feelings na emotions leta valid verifiable facts
 
Acha tuwakumbushe where most Nairobians live
BuruBuru phase 1-4
IMG_0110.jpeg

IMG_0111.jpeg
IMG_0112.jpeg

Donholm
IMG_0113.jpeg

Embakasi
IMG_0114.jpeg

Kayole
IMG_0115.jpeg

KomaRock phase 1-4

IMG_0116.jpeg

IMG_0117.jpeg
img_0118-jpeg.2934625

IMG_0119.jpeg
 
Attachments

  • IMG_0118.jpeg
    IMG_0118.jpeg
    2 MB · Views: 15

Have you ever asked yourselves how much benefits strikes have brought in Kenya? Ama ni kucheka tu kijinga..
Demonstrations are rights which Tanzanians cannot exercise not because they are satisfied but because they are intimidated. Wacha waandamane haki zao zipate suluhu for the better future. Nyinyi endeleeni kudunishwa na kucheka watu ambao hawakubali kudhulumiwa 😂😂😂

You see since i have been in JF, i am now beginning to see firsthand the meaning behind the phrase “bongolala”
 
150 megawatts for a single solar power plant is such a huge project that can cover up to 280-300 hectares. Is this being done in phases? If this materializes then it can be the largest in EA.

Tanzania currently has no power plants at the moment while Kenya has a couple of them
View attachment 2934585View attachment 2934587
Mimi niko against na Miradi ya umeme wa Jua hadi tuwe na umeme wa uhakika, Umeme wa Jua kwa nchi za Africa ni miradi ya wizi na ya viongozi wanaipigia kelele ni wezi, ukijumlisha power plants zenu hapo pote hazifiki megawatts 200 biga hesabu gharama na eneo, maintainance, transimission, next 20 years mnaanza mradi upya wakati mtambo mmoja wa Bwawa nyerere ni megawatts 215 tayari ni rahisi kuingiza kwenye Grid ya Taifa
 
Kuna pumbavu wa bongoslum alikua anasema Kenya haina SA-11 BUK1M SP-SAM air defense system ju the information is not publicly available. Our government purchases a lot of defense equipment, sasa ona this armored cars for the police were purchased from South Africa na hakuna any specific public information about them. Police wa bongoslum najua hawajai ona vitu kama hizi. 😂 😂 😂 👇 👇

View: https://x.com/martonasri/status/1768371296990052545?s=20
 
150 megawatts for a single solar power plant is such a huge project that can cover up to 280-300 hectares. Is this being done in phases? If this materializes then it can be the largest in EA.

Tanzania currently has no power plants at the moment while Kenya has a couple of them
View attachment 2934585View attachment 2934587
Sisi ni wavunja record. Hiki ki solar power plant kenu vikiwa vitatu ndio upate ukubwa wa mradi mmoja tunaofanya
 
Buda subiri hata project ianze kwanza. Shida yenyu mkianza kitu mnakuanga too late to the game, kisha mnajidai sana. Tungalikuwa na mentality ya kibongo, si tungewa annoy sana vile huwa mnadai eti mnatukopi, mara street cameras, mnatukopi, esegiara mnatukopi, solar power mnatukopi …. Makinika wabongooo… hata na hio mentality sijui mbona mwajiita wabongo
 
Have you ever asked yourselves how much benefits strikes have brought in Kenya? Ama ni kucheka tu kijinga..
Demonstrations are rights which Tanzanians cannot exercise not because they are satisfied but because they are intimidated. Wacha waandamane haki zao zipate suluhu for the better future. Nyinyi endeleeni kudunishwa na kucheka watu ambao hawakubali kudhulumiwa 😂😂😂

You see since i have been in JF, i am now beginning to see firsthand the meaning behind the phrase “bongolala”
Hamkubali kudhulumiwa au nchi yenu ni failed state 🤣🤣🤣 nchi munayojiita wasomi sijui matajiri hakuna hata uwezo wakuajiri madaktari na kuwatengezea mazingira mazuri ya KAZI, Ile GDP munayosifu hapa KAZI yake ni nn au ni fake GDP?🤣🤣🤣

Kwenye akili zenu mulidanganywa muko level sawa na Singapore ila uhakisia hata Burundi ina nafuu kubwa
 
Buda subiri hata project ianze kwanza. Shida yenyu mkianza kitu mnakuanga too late to the game, kisha mnajidai sana. Tungalikuwa na mentality ya kibongo, si tungewa annoy sana vile huwa mnadai eti mnatukopi, mara street cameras, mnatukopi, esegiara mnatukopi, solar power mnatukopi …. Makinika wabongooo… hata na hio mentality sijui mbona mwajiita wabongo
What are you talking about.? 😂😂😂 Kwani haujaona picha za uwekaji wa jiwe la msingi.?
 
Buda subiri hata project ianze kwanza. Shida yenyu mkianza kitu mnakuanga too late to the game, kisha mnajidai sana. Tungalikuwa na mentality ya kibongo, si tungewa annoy sana vile huwa mnadai eti mnatukopi, mara street cameras, mnatukopi, esegiara mnatukopi, solar power mnatukopi …. Makinika wabongooo… hata na hio mentality sijui mbona mwajiita wabongo
Ianze mara ngapi🤣🤣🤣🤣 basi njoo uianzishe wewe

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1768309901632184699?t=OWSvyytMHMzZoBUcXARgFg&s=19

View: https://twitter.com/Nishati2017/status/1768315751369236668?t=t1t0t1XdRCZYFsHslzrKtw&s=19
 
Back
Top Bottom