Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pamoja Tuwalishe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wacha makasiriko, the fact remains munapokea msaada wa chakula.
Tumepokea au SHULE NDIO IMEPOKEA??
Screenshot_2024-03-15-14-50-50-32_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Eti Agha Khan ina cilinics tu bongo. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Alipata ajali bongoslum lakini akasafirishwa Kenya. Does that ring a bell to you? Mbona hakupelekwa hospitali za bongo?
Ndio Aga khan TZ ina poly clinics hutaki kunya boga.
Hujajibu swali langu AGA KHAN INAMILIKIWA NA SERIKALI YA KENYA?
 
Ndio Aga khan TZ ina poly clinics hutaki kunya boga.
Hujajibu swali langu AGA KHAN INAMILIKIWA NA SERIKALI YA KENYA?
Is Agha Khan the only hospital in bongoslum? Alipata ajali bongoslum, mbona hakupelekwa hospitali za bongoslum? Whether it's private or public does not matter. Tuambie mbona hakupelekwa hospitali za bongoslum?
 
Nijibu swali moja tuu.
Aga khan inamilikiwa na Kenyan government???
Alipata ajali bongoslum lakini akasafirishwa Kenya kupata matibabu. Mbona hakutibiwa bongoslum? Yani heri wapoteze mda kwa immigration than kuwacha atibiwe bongoslum. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Msaada ni tofaut na njaa Kwan mm nikienda kituo cha yatima nikatoa msaada inamaa wale watoto wana njaa??

Tafuta reason kama msomi kondoo wewe😁
Yani hiyo program imelenga kuwafundisha watoto aisee.
Na ndio maana vyakula vikapelekwa mashuleni.
Ni sawa China iseme imetoa msaada wa nguo za michezo mashuleni jibu je ndio inamaanisha Tanzania HATUNA UWEZO WA KUNUNUA VIFAA VYA MICHEZO NA NGUO ZA MICHEZO??
Jibu la hashaa bali msaada ulikuja kwa agenda maalum.
HAWA MAFALA WANAFOSI
 
Alipata ajali bongoslum lakini akasafirishwa Kenya kupata matibabu. Mbona hakutibiwa bongoslum? Yani heri wapoteze mda kwa immigration than kuwacha atibiwe bongoslum. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
The tourist has no confidence on Tanzanian health system, kama Magufuli ndio aliletwa Kenya, mbona yeye atibiwe Tanzania?
 
Back
Top Bottom