Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nongwe wewe sasa ju mlijenga majengo matatu mkajidanya tunatoshana
Hazikujengwa kwa ajili yenu kwann unaziwaza sana?yes zko dope na ndio maana zinawawasha sana, mkumbuke zile ni nyumba za mashirika ya umma na ziko full occupied ata serikali ihame there will be no any problem

PSPF 2towers 153M each 35flr×2
TPA 40 FLR
LAPF 30FLR
PPF UC 35FLR
MNF 30FLR ×2 Already toped off
Mzizima towers 35flr,33flr uc

Others towers Rita tower 30flr
Izo Ndio towers buddy sio maneno maneno mingi
 
Nipe example ya kitu kimoja tu amefanya zaidi ya kuchochea wajaluo wenzake iliwahalibu mali za wakenya
Ukabila hautaisha kenya. Yaani mnatajana kwa makabila hii ni mbaya sana. Kwahiyo wajaluo siyo wakenya!!? Kwanini isimtaje yeye kama yeye pasipo kumtaja kwa kabila lake?
 
Hazikujengwa kwa ajili yenu kwann unaziwaza sana?yes zko dope na ndio maana zinawawasha sana, mkumbuke zile ni nyumba za mashirika ya umma na ziko full occupied ata serikali ihame there will be no any problem

PSPF 2towers 153M each 35flr×2
TPA 40 FLR
LAPF 30FLR
PPF UC 35FLR
MNF 30FLR ×2 Already toped off
Mzizima towers 35flr,33flr uc

Others towers Rita tower 30flr
Izo Ndio towers buddy sio maneno maneno mingi
povu ni la nini sasa sijakwambia uniletee kamusi nzima ya majengo ya dar?kitu nilikua nataka ukumbuke ni eti hayo majengo mmejanga juzi tu wakati sisi yamekua huku toka jadi
 
e12d9b3ed6f432ed1b21422b50753092.jpg
 
povu ni la nini sasa sijakwambia uniletee kamusi nzima ya majengo ya dar?kitu nilikua nataka ukumbuke ni eti hayo majengo mmejanga juzi tu wakati sisi yamekua huku toka jadi
Ila ndio ushangae mmebaki nyuma ndani ya muda mfupi ....
jipangeni upya ,lmao

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Sasa nishangae kwa nini?wakati sisi ndio tunajenga majengo marefu afrika nzima kwa wakati huu.sasa itabidi mtulie mjione mambo yanavyo enda
Munajenga yakwapi ????😀😀😀😀😀
Poleni kwa kupinguza floors kutoka 30 mpaka 15😛
 
Nipe example ya kitu kimoja tu amefanya zaidi ya kuchochea wajaluo wenzake iliwahalibu mali za wakenya
Wewe acha ukabila, yani unaonesha unyama hadharani kabisa aisee nyie watu gani sijui

Kwan huyo uhuru kenyatta kafanya ninii la maana zaidi ya kuongeza deni la taifa kufika 60% na umaskini kuzidi kenya
 
Sasa nishangae kwa nini?wakati sisi ndio tunajenga majengo marefu afrika nzima kwa wakati huu.sasa itabidi mtulie mjione mambo yanavyo enda
Sema jengo moja refu...majengo marefu yako SA, Na kama ilikua hujui Durban wanaproject ya kujenga tallest tower flr 88 izo ni chai Za kukuzima tu...

Meanwhile Tz tuko Na project ya kujenga bwawa lakugenerate 2100 MW za umeme!! Nadhan iyo ni 85% ya umeme wote wa Kenya kwa sasa
 
Cha kushangaza ni kwamba huo mji mchafu ndio baba wenu wa taifa Kambarage Nyerere alitumia kama mfano akiwaambia nyie wabongolala kwamba mkitaka kuona au kwenda ulaya, hakuna haja ya kupanda ndege kwenda ulaya, ulaya iko tu hapa Nairobi. Wakati mmeanza maendeleo juzi, sisi tulianza hizo enzi while you still buried your heads in the sand in the name of ujamaa
 
Back
Top Bottom