Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yaani hata kujitambua ni issue, Rais ni wa kukimbizwa hospital? Hivi ninyi mnamchukulia Rais kama nani? Rais ni mtu ambae ana team ya specialist physicians wanaofatilia afya yake in heart beats hawezi kukimbizwa kama wewe mlalahoi na Nairobi aje kufata nini kama ni covid au hata kama sio covid?

Afya ya magufuli ilianza kupata public concern toka alivyoanza kutumia hizi fans na tatizo lake lilijulikana ni Atrial fibrillation

View attachment 2933841View attachment 2933842
Your response has no relation to the main topic… try again….😄😄😄
 
Dar is a slum full of old cars and garbage. 😂 😂 😂
Image
Screenshot_20240314_002113_Gallery.jpg
 
Sisi sio washinbdi wala kuwahi kuchukua kombe lolote, ila ukweli ni kwamba, tumefanya mapinduzi makubwa sana kwenye medani ya soka na Africa nzima wameshtuka na kushangaa. Years away, tulikua hatuna uwezo wa kumlipa mchezaji $20 000. Sasa hivi sio nshu tena.
Mumewai shinda game gani AFCON?

Nigeria's Super Eagles. Ligi za Africa ni mbili tu, Tanzania na South Africa, Chipa United. Kenya, ukiona nchi kama Nigeria ambao ni jeuri lakini wanaweka ujeuri pembeni na kukubali ligi yetu, ujue sio poa. Mpaka wamorocco wanacheza Tanzania.


View: https://twitter.com/PoojaMedia/status/1766510246804038067

1710372187341.png
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=29yUy6lB8tg

Huyu baharia anajitahidi kwa kweli ila anatakiwa atoe video kama nne kwa siku ili algorithms zimtambue la sivyo itamchukua muda mrefu kupata subscibers.

Mimi nakwazika nikiskia mtu anazungumza kiingereza kibaya kama chake, inakera kumsikiliza ni bora aongee kwa kiswahili tu then aweke English subtitles. Ila anafanya kazi nzuri, pongezi kwake
 
View attachment 2933883
Mwenye kujua, hivi vibara bara vidogo vya Tandale wanaruhusu magari kupita au ni watu, baiskeli na pikipiki tuu
Foleni ikiwa kubwa sana kwenye barabara mpya ya Magomeni kanisani - Sinza kijiweni, huwa magari yanatumia hizo vichochoro ili kukwepa foleni, lakini ki kawaida tu hizo barabara hazitumiwi kabisa na magari.. ni pikipiki, baiskeli na watembea kwa miguu tu.
 
We jamaa ni zuzu au vipi.? Mnatuambia kuwa JPM alikufa kwa korona na kwamba kabla hajafa aliletwa huko umavi mavini ili apate matibabu, swali ni je hapo ukunyani kulikua na tiba ya korona.? 😂😂😂
Now you are arguing like a primary school drop out… Corona had no cure then just like cancer. It’s about symptoms management… same way people travel abroad for cancer treatment… not to cure it but manage it in away of hoping it never comes back… but sometimes it does come back even with Indian treatments, but that does not make India not a good destination for cancer patients…. Nairobi Hospital remains the cream of the crop of all regional hospitals ( East and Central Africa)…. You can deny all you want.. as they say, you are entitled to your own opinion…
 
Back
Top Bottom