Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu nilicho gundua gok inabariki uongo kama mtu anasimama anasema Olduvai George ipo kundustan kwenye mkutano inamaana gok ilikuwa inafaham viongozi wao wanawadanganya hata wananchi wakidanganya gok haini tatizo hiv huku Tanzania unaweza kusimama kwenye mkutano useme kitu flani kipo Tanzania nawakati unafaham fika kuwa ni uongo halafu GOT ikuache salama ukimaliza tu kusema pingu zinakusubiria
 
Kwasababu ujenzi unaendelea na hzo wanaweka temporary kwa ajili ya mayb sehemu za shule au soko
Kama ujenzi unaendelea mbona wasitumie hio lami wanajenga nayo kuweka bumps za lami. Hamna akili ndio maana munawekewa bumps za mchanga kwa barabara ya lami.
 
Enzi za Mwinyi kulikua na mark x na number plates za TD 👇 👇 😂 😂

Image
hizo taka hutolewa hapo kwaajili ya gari kupita kuchukua na hapo tangazo limetoka asubuh.
 
Back
Top Bottom