Polepole tu utazoea. 😂😂😂 Kazi inaendelea.Kiherehere cha kuanza kutuonehsa render ya kiwanja mnaitoa wapi? Au ndio ushamba wa wakenya. Mashindano ni mwaka 2027. Ruto anataka kuwachota akili 🤣 🤣 🤣
View: https://x.com/AbabuNamwamba/status/1766725753620566081?s=20