Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The day you see me posting.. All hail the great United Republic of Tanzania and Long Live Mama Samia … just know I will be posting from Kilimani …🤣🤣🤣🤣
IMG_2606.jpeg
 
Now you are arguing like a primary school drop out… Corona had no cure then just like cancer. It’s about symptoms management… same way people travel abroad for cancer treatment… not to cure it but manage it in away of hoping it never comes back… but sometimes it does come back even with Indian treatments, but that does not make India not a good destination for cancer patients…. Nairobi Hospital remains the cream of the crop of all regional hospitals ( East and Central Africa)…. You can deny all you want.. as they say, you are entitled to your own opinion…
Acha akili za mbayuwayu wewe hakuna chochote wagonjwa wa covid walikua wanasaidiwa hospitals duniani kote zaidi ya kuwekwa kwenye ventilators kwa akili yako finyu unafikiri mzena zilikua hazipo? Hospital ya Mzena hata hiyo zahanati yenu ya Nairobi haioni ndani, mkapa katibiwa hapo, mwinyi, magufuli na viongozi wengi wakubwa hakuna chochote kipo Kunyaland hakipo Tanzania, najua hata huu uvumi ulikua orchestrated na TISS ili kudilute shock ila nikuambie tu hamna ukubwa huo mnaowaza, Rais ni kiongozi mkubwa sana kuja Nairobi
 
We jamaa ni zuzu au vipi.? Mnatuambia kuwa JPM alikufa kwa korona na kwamba kabla hajafa aliletwa huko umavi mavini ili apate matibabu, swali ni je hapo ukunyani kulikua na tiba ya korona.? 😂😂😂
Your stupidity can't allow you to think. He was being treated on complications that comes as a result of the coronavirus. Coronavirus is just like HIV, it doesn't kill but instead just weakens your immune system to allow other diseases to take over your body, what kills is the accompanied infestation and infection as a result of the Virus. But since you are a primary school dropout, I don't expect you to know such.
 
Yaani hata kujitambua ni issue, Rais ni wa kukimbizwa hospital? Hivi ninyi mnamchukulia Rais kama nani? Rais ni mtu ambae ana team ya specialist physicians wanaofatilia afya yake in heart beats hawezi kukimbizwa kama wewe mlalahoi na Nairobi aje kufata nini kama ni covid au hata kama sio covid?

Afya ya magufuli ilianza kupata public concern toka alivyoanza kutumia hizi fans na tatizo lake lilijulikana ni Atrial fibrillation

View attachment 2933841View attachment 2933842
Screenshot_20240313-112337_1.jpg
Screenshot_20240313-112038_1.jpg
 
Now you are arguing like a primary school drop out… Corona had no cure then just like cancer. It’s about symptoms management… same way people travel abroad for cancer treatment… not to cure it but manage it in away of hoping it never comes back… but sometimes it does come back even with Indian treatments, but that does not make India not a good destination for cancer patients…. Nairobi Hospital remains the cream of the crop of all regional hospitals ( East and Central Africa)…. You can deny all you want.. as they say, you are entitled to your own opinion…
Mwambie Nairobi Hospital and Nairobi West Hospital has equipment that Tanzania will never have in this decade.
 
Tanzania with Integrity, one of it's kind in Africa

View attachment 2933920
Hii statement ya Nyerere kuhusu one-party state, niliisika miaka mingi ila sikuielewa sana, mpaka majuzi hapa alipokuja Trump. Sasa hivi hili neno "uniparty" linaongelewa wazi wazi kwenye social media.

Mzee alikuwa na maakili aisee.
 
Back
Top Bottom