Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoja sio serikali ilisema magufuli yupo ofisini hoja ni kwamba haingekaa itokee magufuli akaletwa Nairobi hata kama hospitals zote duniani zingeungua moto, Kenya haijawahi kuwa na history ya kutibu hata wenyeviti wetu wa vijiji huo uwezo hamna sababu ninyi ni Shithole kama Sudan kusini nothing more nothing less, yaani hamna hiyo class mnayojidanganya mnayo

View attachment 2933817
Where then would they fly him that was closer than Nairobi based on high quality of the facilities… am sure South Africa was considered but was too far based on his deteriorating conditions… So Nairobi was the closest best thing on the table… there is nothing wrong with that … You think I would care to fly to Dar if my life was in danger and that was the closest best medical facility available?… wacheni ujinga … swallow your pride and accept so we can move on.. 😄😄
 
I knew you would say that… your BM30 would be turned to ashes before they anchor onto the ground… we have one huge advantage over you.. access to aerial visibility via US military satellites ( you don’t have that privilege)…that’s how we neutralized Al Shabaab brigades…( they now only use guerrilla tactics)so we will monitor your assets movement every corner… you won’t see the drones firestorm coming… that’s why I said your Air Force will be obsolete in 2 days .. and without it , we take over your airspace and do whatever we want.. game over..🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Bro I think you have had enough miraaa!
Avoid miraa intake is bad to your health🤣🤣🤣🤣.
Tanzania we do have radar which secures our airspace.
And we do have anti aircraft missiles dude.
We also have short range missiles apart from multi rocket launchers.
So keep lying to yourself.
But alshabaab they do keep bothering you till date,do those US army satellites do not help you on monitoring their movements before doing their insurgence?!
Onyo:ulaji wa miraa ni hatari kwa afya yako.
 
Where then would they fly him that was closer than Nairobi based on high quality of the facilities… am sure South Africa was considered but was too far based on his deteriorating conditions… So Nairobi was the closest best thing on the table… there is nothing wrong with that … You think I would care to fly to Dar if my life was in danger and that was the closest best medical facility available?… wacheni ujinga … swallow your pride and accept so we can move on.. 😄😄
We jamaa ni zuzu au vipi.? Mnatuambia kuwa JPM alikufa kwa korona na kwamba kabla hajafa aliletwa huko umavi mavini ili apate matibabu, swali ni je hapo ukunyani kulikua na tiba ya korona.? 😂😂😂
 
Kanairo
Image
 
I can assure you that if Kenya was to go to a conventional war with United Repubic of Bongozania, the carnage left behind by KDF would be historical… we would capture Arusha in less than 5 days and Dar in less than 2 weeks….or 2 days using amphibious assault forces via the Indian Ocean….. we would have total control of their airspace in 12 hours making it easier for KDF to detect targets of opportunities….Their Air Force would be totally annihilated in 10 hours and drone fire would rain on their ground troops before KDF soldiers final execution….. and that’s just the beginning of their nightmare…🤣🤣
Sisi tutafinance bandits fuso 3 za sharpened mapanga Kunyaland yote chini
 
What kind of demand is this? Can you give us a video of his pacemaker being hacked? Huwa mnanibamba jinsi mnavyotumia source za wazungu zikitoa data mnayokubaliana nayo ila zikitoa data ambayo haimfurahishi mnaanza kuziita agents of propaganda.
Siyo data zote za uongo, huwa inategemeana na nini kinaongelewa na maslahi gani yanaguswa. Ntakupa mfano wa Google results, 'bare with me' kwa maana nitaandika kwa kirefu.

Google inaaminika kuwa ni search engine bora duniani, lakini kuanzia 2010 ilibadilika sana katika indexing yao, walianza kuzuia contents kutoka kwa watu binafsi (blogs, articles, forums n.k) zisionekane kwenye page ya kwanza na kujaza results za big corporation.

2016, wakabadilisha tena indexing yao baada ya WEF kuja na agenda ya "misinformation and disinformation" (Trump aliposhinda urais). Trump aliweza kumshinda Clinton kwasababu ya social media na ikaonekana mainstream media (CNN, NY times etc) ambazo walikuwa wanazi control, kuanza kukosa uwezo wa kupiga propaganda.

Corona ilipokuja, Google walihakikisha results ambazo haziendani na agenda zinapotea kwenye indexing yao. Wakati wa mRNA Vaccine roll out, wakawa wanajaza results zinazoendana na narrative ya globalist, siyo kwa page ya kwanza tuu bali mpaka page ya nane.

Sasa, turudi mwanzo, je google ni search engine bora au la? Jibu ni kuwa inategemeana na nini una search, ukisearch mambo ya kawaida mfano, "how many children Kanye west has" utapata majibu sahihi. Lakini ukisearch , "covid vaccine heart disease" unapata results ambazo ni propaganda za big pharma. BTW big pharma ndiyo sponsor wakubwa wa mainstream media (over 70% ya ad revenue).

Kwa sasa, kuna baadhi ya mambo ukitaka kupata unbiased results ni bora utumie search engine ya warusi, inayoitwa yandex wao ni kama google ilivyokuwa zamani (pre 2005, kabla ya kwenda public).

Hapo chini nimeka screenshot ya google pamoja na yandex results, jaribu mwenyewe kufanya research kwenye area ya children immunization na vaccines kwenye hizo search engines utaona utofauti wake.

covid 1.png

Covid.png

Sasa kutokana na data tulizonazo kama "excess death" baada ya 2021 (messenger RNA vaccines roll out) kutoka nchi zenye high vaccination rate, unaweza kuamua mwenyewe search engine ipi inapiga propaganda.
 
Don’t confuse yourself between EACRF ( which was terminated) and Kenya-DRC bilateral defense pact ( which still exists)…. Kenya cares more about the latter since it’s more mutually beneficial… Kenyan companies have invested heavily in DRC ( more than the rest of EAC combined) and so we have to look out for our interests…. Mpende msipende …🤣🤣
🤣🤣🤣 Don't try to sugar coating the story ukweli kwamba mlifukuzwa Tena mliambiwe mtoke na mkapewa dead line ya kufunga vilago vyenu muwe mshatoa makomwe yenu 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Bro I think you have had enough miraaa!
Avoid miraa intake is bad to your health🤣🤣🤣🤣.
Tanzania we do have radar which secures our airspace.
And we do have anti aircraft missiles dude.
We also have short range missiles apart from multi rocket launchers.
So keep lying to yourself.
But alshabaab they do keep bothering you till date,do those US army satellites do not help you on monitoring their movements before doing their insurgence?!
Onyo:ulaji wa miraa ni hatari kwa afya yako.
Another case of limited English comprehension…. Read my post again… US military satellites will pinpoint your radars and that would be the first casualty of Kenya Air Force hell fire drones… as I said, we would take over your airspace in 2 days….. without it, your Army is just sitting ducks waiting to be plucked…🤣🤣🤣🤣
 
Video games zinakudanganya. Unaota na kuamini KDF ni kama US Army au RAF fulani hivi. Hadi kesho kula shida kwa zaidi ya 80% population halafu uko hapa unaongelea drones na satellites kama ugali na sukuma wiki.
 
Where then would they fly him that was closer than Nairobi based on high quality of the facilities… am sure South Africa was considered but was too far based on his deteriorating conditions… So Nairobi was the closest best thing on the table… there is nothing wrong with that … You think I would care to fly to Dar if my life was in danger and that was the closest best medical facility available?… wacheni ujinga … swallow your pride and accept so we can move on.. 😄😄
Yaani hata kujitambua ni issue, Rais ni wa kukimbizwa hospital? Hivi ninyi mnamchukulia Rais kama nani? Rais ni mtu ambae ana team ya specialist physicians wanaofatilia afya yake in heart beats hawezi kukimbizwa kama wewe mlalahoi na Nairobi aje kufata nini kama ni covid au hata kama sio covid?

Afya ya magufuli ilianza kupata public concern toka alivyoanza kutumia hizi fans na tatizo lake lilijulikana ni Atrial fibrillation

Screenshot_20240313-235434.jpg
images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom