Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi laana sijui kwanini wanapenda kung'ang'ania vitu vya TZ Yani Hadi Yana kela Dunia mzima inajua magufuri amefariki akiwa dar es salaam vyombo vya habari vyote vikubwa duniani vilitangaza amefia dar es salaam lakini yalivyo kuwa masenge yanalazimisha et amefia kenya ukiuliza source ya hizo information wanakuambia KIBERA rumors.com
Haya Sasa kama amefia hospital ya huko Kenya leteni ushaidi wa documents za mgonjwa alizoandikishwa kuwa amepokelewa hiyo hospital maana Mimi ninavyojua mtu yoyote yule akienda hospital lazima Kuna taarifa za mgonjwa zitakuwa recorded either mapokezi au hukohuko ward alipolazwa kama alikuwa na emergency na huu ndio utaratibu wa WHO unatekelezwa na health facilities zote duniani bila kujalisha ni nani
kama mgonjwa akitokea amefariki taarifa za kifo zitatolewa na doctor wa hospital aliyehusika kumpa matibabu

ila hii misenge walivyokuwa na shobo na TZ inakuja rumors zao kutoka huko kibera kuja kulazimisha vitu ambavyo havipo wanafikiri taratibu za Dunia ni za kibera

Taarifa alipofia Nyerere hizi hapa hakuna ubabaishaji inajulikana amefia hospital ilioko London,uingireza 👇👇👇pia magufuri ndio hivyohivyo👇👇View attachment 2933379View attachment 2933374
Na ukitaka kuwaona hawana akili vyombo vya kimataifa bobezi mathalan BBC vinasema kuwa covid 19 death ni rumour sio confirmed information.
Wao wanashikilia kafa kwa covid.
Aya sawa kafa kwa covid aliendaje kutibiwa Kenya ambako ndiko kulikua kunaongoza kwa maambukizi na vifo vya covid kwa East Africa??
 
accept bitter truth....denial is the first step ......hahaha
🤣🤣🤣🤣🤣 Sorry bro dunia haizunguki kibera Wala haitambui kama wewe umeumia🤣🤣🤣fact is fact and already History is written magufuri died in dar es salaam,Tanzania no discussion
🤣🤣🤣🤣Your rumors don't go anywhere you 🤡 and will vanish with time, and next generation will be study this👇no body care about your pain🤣🤣🤣kama yakizidi mwambie nurse wa shakira Teargas akuibie panaldo unywe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240313-124233.jpg
 
Na ukitaka kuwaona hawana akili vyombo vya kimataifa bobezi mathalan BBC vinasema kuwa covid 19 death ni rumour sio confirmed information.
Wao wanashikilia kafa kwa covid.
Aya sawa kafa kwa covid aliendaje kutibiwa Kenya ambako ndiko kulikua kunaongoza kwa maambukizi na vifo vya covid kwa East Africa??
Bro usijisumbue na hawa 🤡 from kibera already History is written magufuri died in dar es salaam, Tanzania and this what all next generation will be study not their rumors from kibera🤣🤣🤣
 
Articles yeyote anaweza kuandika, leta video inayoonesha Magufuli akipelekwa Hospitali. Kwa jinsi walivyomchukia, wange leak video tuu kama ingekuwa kweli.
What kind of demand is this? Can you give us a video of his pacemaker being hacked? Huwa mnanibamba jinsi mnavyotumia source za wazungu zikitoa data mnayokubaliana nayo ila zikitoa data ambayo haimfurahishi mnaanza kuziita agents of propaganda.
 
Why do you want them to have correspondent in Tanzania when Magufuli didn't die in Tanzania?

Why do you want them to have correspondent in Tanzania when Tanzanian themselves didn't even know that Magufuli was sick?

Finally who told you they don't have correspondent in Tanzania?
Tanzanians didn't know magufuli was sick? Hivi Unajua mahali Rais yupo kunakua na crew ya watu wangapi? 😂😂😂 Kwa uchache kabisa kwa status na security details ya Magufuli alikua anaaambatana na team sio chini ya 100 kwenye low profile kabisa occasion sio chini ya 30 ambao watakua nae in 360° hao ni wakundustan? Wakunya wengi hamna akili Kunyaland ni Shithole ya mwisho kabisa kiongozi mkubwa kama Magufuli kufikiria kuja ni hivyo tu mnajipa umuhimu ila deep down hamna hiyo status mnayodhani
 
We kumbe ni fala??
Nani alikua hajui kama Magufuli anaumwa??
Magufuli alikua akiumwa muda na hakuna asiyefahamu kama alikua anaumwa,na mbona mnajichanganya?
Si mlisema alikufa kwa Corona??
KWa upuuzi wako Magufuli aumwe corona aletwe Kenya kwani Kenya kuna tiba ya corona?
Magufuli alifia Mzena hakufia Kenya.
Nitajie hao correspondent wa France 24 Tanzania.
Yaani hilo ni 1 billion question wakundustan watakaa wakujibu 😂😂😂😂 Eti naislum kutibiwa corona 😂😂😂😂
 
Kwanza corona yenyewe haikuua kivile, walikuwa wana label mtu yeyote akifa (hata kama aligongwa na gari), wanasema ni corona ili kutengeneza hofu... baadae walete chanjo. Corona ilitengenezwa kwaajili ya chanjo, Magu alishtukia mchezo, toka kwenye vipimo, idadi ya maambukizi, mpaka kwenye lock downs. Unakumbuka aliporuhusu ligi kuanza, watu wakajaa uwanjani na hawakufa. Aliwaumbua sana, the globalists, hawakupenda.
Tena kama hivi Lowassa na Mwinyi walivyofariki in sequence ingekua zama zile wangesema ni covid
 
What kind of demand is this? Can you give us a video of his pacemaker being hacked? Huwa mnanibamba jinsi mnavyotumia source za wazungu zikitoa data mnayokubaliana nayo ila zikitoa data ambayo haimfurahishi mnaanza kuziita agents of propaganda.
Akili zako zimetawaliwa na fikra za kikoloni.
Dunia kwa sasa ipo kwenye multipolar. Lakini wakenya bado wana muabudu Malkia Elizabeth 🤣 🤣 🤣 🤣
Queen Elizabeth God of Kenya 🤣🤣🤣🤣
 
accept bitter truth....denial is the first step ......hahaha
Kunyaland ni takataka kubali hamna hadhi hata ya civil servant wa serikali kuwa reffered huko huwa mnaforce tu muonekane something lakini you're not giving what you're imitating, wafanyakazi wote wa serikali walikua wanapewa referrals za India or SA, Kunyaland never ever made appearance even by chance, yaani hampo kabisa kabisa
Screenshot_20240313-144158.jpg
 
Back
Top Bottom