Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Huyo jamaa ni tu mtu wa mkono. Tanzanians has no brain build anything in Tanzania.Juzi nimefika Rongai Border Tanzania, majamaa huko wananihanda sana niwapeleke Nairobi kazi ya mjengo. Hawa huja Kenya kufanya odd jobs. Hizo Bush stones ni architecture iko uniquely Kenyans. Tukipost nyumba za bush stone humu huwa wanasema nyumba zetu hatupaki rangi kisa hawaielewi hii architecture. Sasa utatafutaje professional aje kukufunza kitu ulichoanzisha? Ni kama Japan ije Tanzania kutafuta professionals wa kutengeneza magari. Huyo ni mtu wa mkono. 🤣 🤣