Alafu wanatupigia kelele, sasa private hospitals mwanachi wa kawaida anamudu vipi ndio hao wanakimbilia huku kwetu, ila Bongo kuna utaratibu, unaanza na zahanati iliyopo kitongojini, then hospital ya karibu hasa kata, au kijiji, then kama tatizo linazidi unaenda wilayani, wilaya ikizidi unaenda hospital ya Mkoa, the ikiwa mkoani nako majanga unaenda ya kikanda, mwisho ya Taifa, ila kabla ya yote inategemea tatizo, kuna tatizo lingine ni specialized hospital nyingine, unaweza usifike muhimbili ukaishia Bungando, or Benjamin Mkapa.
Mfano, mimi nikiumwa natokea Mara, naanza na kituo cha afya Nyamongo (Now kinafanya mpaka upasuaji), then Hospital ya Wilaya Tarime, Hospital ya Rufaa Musoma, then Bugando, ukifika Bugando inategemea tatizo limebase wapi? Ni either muhimbili or specialized referral hospital.
Sio kila kitu muhimbili bana, shida hao wamekariri muhimbili.
Hata hivyo before even sijafika huko kuna private, mfano hata kabla hujafika Bungando kuna Sekou Toure