Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Indeed Tanzania is good at football.

1710068410898.jpg
 
Indeed Tanzania is good at football.

View attachment 2930347
Bado unaleta stori za zamani.
Arsenal ni miongoni mwa club ambazo zilikua zikifanya vibaya ila sasa hivi ipo top three EPL,je kisa rekodi za nyuma ndio tuseme arsenal haiko vizuri asahv??
Tanzania ina ligi namba 64 duniani kwa ubora namba 6 Afrika kwa ubora.
Tanzania ina wachezaji wengi wanaocheza timu za ulaya
.
Ndani ya miaka miwili Tanzania imepanda nafasi 16 za viwango vya FIFA.
Klabu za ligi ya Tanzania hushiriki kila mara klabu bingwa Afrika na kuingiza mapato serikalini na klabuni.
We endelea kubaki na historia.
 
Kenya inakamia Tanzania tu. Kenya never go anywhere 🤣 🤣 🤣
Anakuletea historia akati usema utizame historia basi BRAZIL hadi leo ingekua timu ya kwanza katika rank za fifa maana wana makombe matano ya dunia kuliko taifa lolote.
Ila mpira unatizama evolution,consistency na current performance.
 
Kenya is dead. Mwai Kibaki Kaondoka na Kenya 🤣 🤣 🤣 Kwa sasa Kenya ni kituko cha Dunia
 
Bado unaleta stori za zamani.
Arsenal ni miongoni mwa club ambazo zilikua zikifanya vibaya ila sasa hivi ipo top three EPL,je kisa rekodi za nyuma ndio tuseme arsenal haiko vizuri asahv??
Tanzania ina ligi namba 64 duniani kwa ubora namba 6 Afrika kwa ubora.
Tanzania ina wachezaji wengi wanaocheza timu za ulaya
.
Ndani ya miaka miwili Tanzania imepanda nafasi 16 za viwango vya FIFA.
Klabu za ligi ya Tanzania hushiriki kila mara klabu bingwa Afrika na kuingiza mapato serikalini na klabuni.
We endelea kubaki na historia.
Which Sport is Tanzania good at?

1710068410898.jpg
 
Kama unatizama history basi BRAZIL angekua yupo juu mpaka sasa hivi.
Ushaishiwa hoja baki na maumivu.
I'm not looking at history. How many games did Tanzania win at the just concluded AFCON tournament?
 
I'm not looking at history. How many games did Tanzania win at the just concluded AFCON tournament?
Mavi ya kale hayanuki. We are talking about current affairs. Wewe unaongelea long long time ago wakati Russia ikiitwa USSR, Congo DRC haikuwa EAC, Sundan ikiwa one Country.
Things are changing mdogo wangu. Achana na past tenses 🤣 🤣 🤣
 
Tanzania unaposema referral hospitals maana yake ni national referral, alaf kuna regional hospitals

Ndio maana nikamwambia Tanzania kuna referral hospitals nyingi zaidi so mwambie akae kwa kutulia 😄😄😄😄
Sasa wewe kilaza wa Tandale unajua zaidi kuliko serikali yenu?

Tanzania has 28 referral hospitals na ni serikali yenu inasema hivyo
 
Sasa wewe kilaza wa Tandale unajua zaidi kuliko serikali yenu?

Tanzania has 28 referral hospitals na ni serikali yenu inasema hivyo
Wewe mpuuzi kweli. 🤣 🤣 🤣 Ficha ujinga wako.
1. Hizo umeweka Regional Referral Hospitals
2. Haujaweka National Referral Hospitals
3. Mambo ya Afya siyo ya Muungano. Nenda kwenye Wizara ya afya ya Zanzibar ukaongezee Regional Referral Hospitals.
Bado Zonal Referral Hospitals
Hizo 28 ni regional Referral Hospitals. 🤣🤣🤣🤣

ACHA KUPOTOSHA UMMA.
 
Sasa wewe kilaza wa Tandale unajua zaidi kuliko serikali yenu?

Tanzania has 28 referral hospitals na ni serikali yenu inasema hivyo
Their government came for benchmarking at Kenya University Teaching and Referral Hospital.

Their minister was very happy to see big and modern hospitals in Kenya.

She even begged if Kenyan government could allow Tanzanians to come and get treated at KUTRH.
 
Back
Top Bottom