buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Alafu linatokea jitu hapa linasema wako vizuri na Purchasing Power.
Nina swali moja,Kutibiwa Kenya nini? Kwanza stocks ya TB drugs tupe progress.
Nyie Kunyaland mna hospital ngapi? Kazi nzuri ya mama hiyoHii hasira yote imeletwa ju ya hii. 👇👇😂😂😂 Hospitali 11 pekee za mkoa ndio zikona dialysis machines.
![]()
Kenya wana private hospital nzuri tuseme ukweli.Madokta na manurse mmeshamalizana nao? Au huduma nzuri ni muonekano wa majengo tu.
Alafu wanatupigia kelele, sasa private hospitals mwanachi wa kawaida anamudu vipi ndio hao wanakimbilia huku kwetu, ila Bongo kuna utaratibu, unaanza na zahanati iliyopo kitongojini, then hospital ya karibu hasa kata, au kijiji, then kama tatizo linazidi unaenda wilayani, wilaya ikizidi unaenda hospital ya Mkoa, the ikiwa mkoani nako majanga unaenda ya kikanda, mwisho ya Taifa, ila kabla ya yote inategemea tatizo, kuna tatizo lingine ni specialized hospital nyingine, unaweza usifike muhimbili ukaishia Bungando, or Benjamin Mkapa.Kenya wana private hospital nzuri tuseme ukweli.
Ila government hospital za Kenya ni majanga.
Yani Kenya ni nchi iliyojikita katika privatization inayonufaisha wachache na kusahau public sectors zinazogusa wengi.
Wana hospitali 100+ Tanzania ina hospitali 300+.Nyie Kunyaland mna hospital ngapi? Kazi nzuri ya mama hiyo
Mbuga zetu harafu Wazungu ndio watuamlie? Upuuzi
View: https://www.instagram.com/p/C4V8Wlyin31/?igsh=MTZqdXhic3E3cW03Mg==
Baada ya kukataa huo ujinga onyesha Barabara hata Moja aliyojenga mbugani badala ya kuleta upuuzi.Unalilia nini si Unampenda huyo Raisi wenu, Magufuli alikataa huo ujinga wakati anataka kujenga JNHP.
Nimejaribu kujiweka in your shoes but nimeshindwa like how is that a copy paste, unaeza punguza ufala kufikia kiwango tunwaeza kuelewana tafadhali, shukranUtoto huo 🤣 🤣 🤣 Copy and Paste From Air Tanzania - The Wing of Kilimanjaro
View attachment 2930400
Hawa utawawezaaa!?Alafu wanatupigia kelele, sasa private hospitals mwanachi wa kawaida anamudu vipi ndio hao wanakimbilia huku kwetu, ila Bongo kuna utaratibu, unaanza na zahanati iliyopo kitongojini, then hospital ya karibu hasa kata, au kijiji, then kama tatizo linazidi unaenda wilayani, wilaya ikizidi unaenda hospital ya Mkoa, the ikiwa mkoani nako majanga unaenda ya kikanda, mwisho ya Taifa, ila kabla ya yote inategemea tatizo, kuna tatizo lingine ni specialized hospital nyingine, unaweza usifike muhimbili ukaishia Bungando, or Benjamin Mkapa.
Mfano, mimi nikiumwa natokea Mara, naanza na kituo cha afya Nyamongo (Now kinafanya mpaka upasuaji), then Hospital ya Wilaya Tarime, Hospital ya Rufaa Musoma, then Bugando, ukifika Bugando inategemea tatizo limebase wapi? Ni either muhimbili or specialized referral hospital.
Sio kila kitu muhimbili bana, shida hao wamekariri muhimbili.
Hata hivyo before even sijafika huko kuna private, mfano hata kabla hujafika Bungando kuna Sekou Toure
Hamna hamna, hatuna shombo na nchi yoyote, kwanza wana nini cha kufanya tuvutiwe?Nina swali moja,
HIVI TANZANIA TULISHAWAHI KU CLAIM KITU CHOCHOTE KIZURI CHA KENYA NI CHA KWETU KAMA KENYA WANAVYOFANYA??
Mfano daraja la Nyerere Kigamboni lilipozinduliwa Kenya mitandaoni waliliposti na kudai ni lao likiwa Mombasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Je Tz tumewahi fanya kitu kama hiki??
even the commentator swears that it’s a special type of livery he has never seen lakini according to the dude who calls himself a star, tulicopy kwa air tanzaniaUnauhakika you did not copy the Idea from Air Tanzania? KQ has never been painted a picture of an animal. This idea belongs to Air Tanzania
Mbugani unajenga lami ya nini? Sometimes mnajitoaga akili, sasa mbugani lami si inaharibu ladha ya adventures.Baada ya kukataa huo ujinga onyesha Barabara hata Moja aliyojenga mbugani badala ya kuleta upuuzi.
Magufuli si ndio alimkana Makonda kwenye Suala la Ushoga? Au unadhani wote wajinga humu ndani?
Umesoma hilo gazeti Kwa nini wanataka kujenga lami na rigid pavement mbugani?Mbugani unajenga lami ya nini? Sometimes mnajitoaga akili, sasa mbugani lami si inaharibu ladha ya adventures.
Na matatizo yote ya nchi mmeona kujenga lami mbungani ndio la msingi eeh?
Weka statements hapa ya Magufuli kumkana? Namaanisha "Magufuli kumkana"
Makonda aliwekwa pembeni sababu mzee aliweka msimamo watumishi wote waliochukua form kazi hamna.
Huna bundle ya kuleta matokeo?
Kenya 16,517 hospitals, Tanzania only have 8,000. Mbona unapingana na ukweli?Wana hospitali 100+ Tanzania ina hospitali 300+.
Jumla ya health facilities kwa Kenya 9600+ kwa Tz 8800+ ila health facilities nyingi Kenya private owned.
Utapata picha kuwa Kenya sekta ya umma iko nyuma sana.View attachment 2930699
Unajiuliza maswali na kujijibu mwenyewe. Tanzania ipo na watu zaidi ya 65m na is one of happiest people in this Planet. Unatupigia kelele kutibiwa kwenye nchi of unhappy people.venus hata wewe usiogope kuja kutibiwa +254 After all we are the big brother while tz is the errant smaller brother 😆