Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hakunanga riwaya za Kiswahili zilizoandikwa na Watanzania nyingi halafu tunaaminishwa eti wao ndio magwiji wa Kiswahili?
View attachment 2931117
Baadhi ya riwaya zilizoandikwa na watanzania. Unaweza kuzitafuta google na ununue.

1. "Siku Njema" - Assumpta K Matei
2. "Kilio cha Haki" - Juma Volter Mwapachu
3. "Machozi ya Haki" - M.S. Solomi
4. "Safari ya Makaburini" - Euphrase Kezilahabi
5. "Kichwamaji" - Shaaban Robert
6. "Pendo la Damu" - Anna Mbegu
7. "Kiu ya Umasikini" - Euphrase Kezilahabi
8. "Riwaya ya Kifo Kisimani" - Mtemi Ramadhani
9. "Nuru Nje ya Giza" - Kithaka wa Mberia
10. "Mstahiki Meya" - Euphrase Kezilahabi
11. "Damu ya Yesu" - Assumpta K Matei
12. "Mkuu wa Umoja" - Mohamed S. Mohamed
13. "Nassor bachu" - Mwana Kupona
14. "Safari ya Binti Huru" - Faraji Katalambulla
15. "Kifo Kisimani" - M.M. Mulokozi
16. "Jail" - Ben Mtobwa
17. "Nguvu za Kisasi" - Stella G. T. Masatu
18. "Pendo Mabilioni" - Mohamed S. Mohamed
19. "Dunia Uwanja wa Fisi" - Thomas Mofolo
20. "Tamaa" - Euphrase Kezilahabi
21. "Utengano" - Euphrase Kezilahabi
22. "Nyota Yako" - Fatma Mohamed
23. "Uhuru wa Mtego" - Ben Mtobwa
24. "Hatia" - Assumpta K Matei
25. "Kizito" - Euphrase Kezilahabi
26. "Rangi ya Ufalme" - Juma Volter Mwapachu
27. "Moyo wa Stefano" - Euphrase Kezilahabi
28. "Kifo Kisimani" - M.M. Mulokozi
29. "Taa ya Jua" - Mohamed S. Mohamed
30. "Damu ya Yesu" - Assumpta K Matei
31. "Nassor bachu" - Mwana Kupona
32. "Safari ya Binti Huru" - Faraji Katalambulla
33. "Kifo Kisimani" - M.M. Mulokozi
34. "Jail" - Ben Mtobwa
35. "Nguvu za Kisasi" - Stella G. T. Masatu
36. "Pendo Mabilioni" - Mohamed S. Mohamed
37. "Dunia Uwanja wa Fisi" - Thomas Mofolo
38. "Tamaa" - Euphrase Kezilahabi
39. "Utengano" - Euphrase Kezilahabi
40. "Nyota Yako" - Fatma Mohamed
41. "Uhuru wa Mtego" - Ben Mtobwa
42. "Hatia" - Assumpta K Matei
43. "Kizito" - Euphrase Kezilahabi
44. "Rangi ya Ufalme" - Juma Volter Mwapachu
45. "Moyo wa Stefano" - Euphrase Kezilahabi
46. "Siku Njema" - Assumpta K Matei
47. "Kilio cha Haki" - Juma Volter Mwapachu
48. "Machozi ya Haki" - M.S. Solomi
49. "Safari ya Makaburini" - Euphrase Kezilahabi
50. "Kichwamaji" - Shaaban Robert
 
Which sport is Tanzania good at?

Latest Rugby 7s Challenger series ranking.

20240311_105105.jpg
 
Wape vidonge vyao mura
Alafu wanatupigia kelele, sasa private hospitals mwanachi wa kawaida anamudu vipi ndio hao wanakimbilia huku kwetu, ila Bongo kuna utaratibu, unaanza na zahanati iliyopo kitongojini, then hospital ya karibu hasa kata, au kijiji, then kama tatizo linazidi unaenda wilayani, wilaya ikizidi unaenda hospital ya Mkoa, the ikiwa mkoani nako majanga unaenda ya kikanda, mwisho ya Taifa, ila kabla ya yote inategemea tatizo, kuna tatizo lingine ni specialized hospital nyingine, unaweza usifike muhimbili ukaishia Bungando, or Benjamin Mkapa.

Mfano, mimi nikiumwa natokea Mara, naanza na kituo cha afya Nyamongo (Now kinafanya mpaka upasuaji), then Hospital ya Wilaya Tarime, Hospital ya Rufaa Musoma, then Bugando, ukifika Bugando inategemea tatizo limebase wapi? Ni either muhimbili or specialized referral hospital.

Sio kila kitu muhimbili bana, shida hao wamekariri muhimbili.

Hata hivyo before even sijafika huko kuna private, mfano hata kabla hujafika Bungando kuna Sekou Toure
 
Back
Top Bottom