Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi's Times Square
Image
hawa wote wakiwa wanapambania kazi ya laki 4 ila wakija humu wanasema wanatupita GDP
 
Baadhi ya nchi hapo zinachimba mafuta yanapelekwa usa kisha tena yanarudi tena kwao

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1765064536107966708?t=0ChimAzM7kJKXcqD0i7Wog&s=19

Ujinga wa mwafrika, ni kitabu nilikisoma nikiwa mtoto.

Wanaigeria wanajisifu kuwa wao ndiyo wenye wasomi wengi diaspora. Sasa unajiuliza wamefanya nini? Tanzania tunawasomi bora Afrika kutokana na impact tuliyoifanya Africa na duniani. Magufuli kwa mfano, kuna wazungu wengi wanamsifu kuwafumbua macho, kwa kuhoji vipimo vya covid, baada ya ile double blind experiment yake ya mapapai. Wanafurahi wameweza kuikwepa chanjo ambayo kwa sasa tunaushahidi inabadilisha DNA na kuharibu immune system, yaani ni mbaya kuliko HIV.

Sisi Watanzania tumechangia hadi kwenye physics, kuna phenomena moja ina jina la Mtanzania inaitwa Mpemba effect (Erasto Mpemba), kama zilivyo effects nyingine mfano, photoelectric, Doppler, Tunnel effect nakadhalika na sisi tumo. Kuna siku rasmi tutakuwa na the Magufuli effect, inshallah.
 
Yes we borrowed some architectural concepts from Arabs but everyone does, where do you think the study of balancing, forcing and restoring a.k.a Al-Jabr (algebra) came from?
It's tacky, you can borrow and do a good thing but yours is just tacky. You speak of lacking a soul like someone who doesn't understand what lacking a soul means. You are building a capital on the edge of a town and the capital is full of government buildings whose architecture is a direct yet poor copy of either Arab architecture or the original structure built in Dar es Salaam by your colonists. In case you don't understand what lacking a soul means - that's the exact definition of lacking a soul. A concrete jungle of boring government buildings with nothing else - no recreation, no shopping, no entertainment, no parks, no academic institutions, no vegetation, nowhere for humans to interact and tacky copy of Arab architecture. Nothing screams lack of soul like your city. Brasilia even sounds better.
 
Back
Top Bottom