Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,152
- 9,571
wapi...ldc kama kawa
stendi ya basi ukitoka tu ni vituko barabarani....hamna enough buses mnasimama safari ya 800kmsHuyo anakuambia kenya ina mabasi na stand nzuri kuliko Tanzania unashangaa stadiums? Sasa muambie akupostie ndo utakapojua wakenya hawana akili 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hao nyang’au wamejipanga foleni kutafuta kazi?🙂Nairobi's Times Square
![]()
75% of your workforce are primary school dropouts. 😂 😂 😂 Watu wa informal economy ndio wamejaza labor force ya bongoslum.Hao nyang’au wamejipanga foleni kutafuta kazi?🙂
Kingereza kingi afu mfukoni hamna hela............na Nairobi mejazana tu kwenye maghorofa ya akina odinga,ruto,mudavadi,kenyata, saitoti,.......Only 11 hospitals with dialysis machines. 😂 😂 😂 CT Scan mumepata juzi, kumbe hata dialysis machines hamkua nazo in referral hospitals. 😂 😂 😂
Unaumwa ugonjwa mbaya sana unaitwa wivu na roho mbaya, jifunze kukubaliana na ukweli bro🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣stendi ya basi ukitoka tu ni vituko barabarani....hamna enough buses mnasimama safari ya 800kms
We kweli fala aisee.75% of your workforce are primary school dropouts. 😂 😂 😂 Watu wa informal economy ndio wamejaza labor force ya bongoslum.
![]()
That's data from NBS, wataalamu wa statistics huko bongoslum. Wewe huna data, your opinions are based on emotions.We kweli fala aisee.
Yani kwa akili zako Tanzania elimu chekechea mpaka shule ya upili ni bure ni advance tu ndio unalipa ada.
Chuo kikuu kuna mikopo na vyuo vya kati vina mikopo halafu useme kuwa 65% ya work force yetu ni wale wenye primary level???!!!!
Utakua fala wa kiwango cha SGR.
Kwasasa Tz katika watoto kumi saba nzima wamefika elimu ya chuo cha kati na chuo cha juu.
Watatu ndio utakuta wameishia ufundi ama kidato cha nne.
Onhoo ona hii mla githeri.That's data from NBS, wataalamu wa statistics huko bongoslum. Wewe huna data, your opinions are based on emotions.
Where is your data ya 2024? Kama huna nyamaza. Watu wa informal economy.Onhoo ona hii mla githeri.
Hiyo survey ya 2020/2021.
Unaniletea nikae nayo mpaka sasa ya kazi gani???
Tanzania mwaka mmoja tu hufanyikwa mabadiliko mengi sana.