Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya wametuacha sana tuache ushabiki…Hiyo expressway ni balaa….mmetisha majirani…kongole kwenu….Sisi huku nilisikia wanataka kujenga ya kulipia kibaha chalinze watu wakalamika humu jamii forums.

Wakati wenzetu wamejenga tena kwa muda mfupi sana na ina option ukitaka kupitia hiyo ya kulipia au upite yenye jamu kazi kwako…ukishika waiyaki road mpaka mombasa road ukiwa unaenda airport dakika sifuri…Hongereni sana.

Tatizo kubwa Nairobi ni ukora wa dereva wa uber hasa kwa wageni yaani wana ukora wa kipuuzi mnooo.
Humo kichwani uko sawa sawa kweli!?
 
Dar es salaam Commuter Railway Project. Expected 166km budget of usd 8b.

Tukae mkao wa kula. 7 Routes.

1709634733689.png
 
Kakojoe ulale kunyan
Kenya wametuacha sana tuache ushabiki…Hiyo expressway ni balaa….mmetisha majirani…kongole kwenu….Sisi huku nilisikia wanataka kujenga ya kulipia kibaha chalinze watu wakalamika humu jamii forums.

Wakati wenzetu wamejenga tena kwa muda mfupi sana na ina option ukitaka kupitia hiyo ya kulipia au upite yenye jamu kazi kwako…ukishika waiyaki road mpaka mombasa road ukiwa unaenda airport dakika sifuri…Hongereni sana.

Tatizo kubwa Nairobi ni ukora wa dereva wa uber hasa kwa wageni yaani wana ukora wa kipuuzi mnooo.
 
Sio jambo la kawaida maji kukatika Dar... Ndio maana wameweka tangazo kabisa.

Wanarekebisha mabomba ya maji kutoka catchment area Ruvu huko.

Ila kwenu huko kukosa maji ni kawaida ndio maana huko nganya za ku supply maji ni ajira rasmi huko pipelines and slums area

View attachment 2925196
Lamamayeee umeona chuchu konz linasukuma majii!?🤣🤣
 
Back
Top Bottom