Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani michezo ni soka pekee
Leo tumeleta medali 4 Kenya
Next weekend tunaleta kikombe ya dunia from Uruguay!!!
Nyinyi endeleeni kuzubaa kikiafrika tu?!!
Vijana wawili Tu wametikisa dunia Huko wameingiza pesa ya mana 250,000
Haya tuambie thamani ya hzo medali
Screenshots_2024-03-03-22-40-44.png
 
Watu wanakazana kwenda kucheza top teams za Europe wewe. Uko hapa ukiongelea takataka ya kiafrika inaitwa sijui Caf!!!
Vitu za amateur players,!
Enyewe hope ya kufika world cup labda 2200.
We hope hata ya kucheza AFCON huna.
Unadhani kwenda kucheza europe unaenda tu kifala fala??
Hata huyo Samatta alikiwasha CAFCL akitokea TP Mazembe ndio kaonekana kwenye kombe la dunia la club ndio kaenda Europe.
 
Kwani michezo ni soka pekee
Leo tumeleta medali 4 Kenya
Next weekend tunaleta kikombe ya dunia from Uruguay!!!
Nyinyi endeleeni kuzubaa kikiafrika tu?!!
Mchezo wenye kulipa na kuleta ajira kwa wingi ni mpira.
Fuatilia hata ulimwenguni mpira una mchango gani hadi katika pato la taifa,kafuatilie England uone football ilichangia asilimia ngapi ya mapato.
 
Ati American football is bigger than Rugby....hehehe. Nevertheless, what sport is tanganyika good at so we ask....please don't give us this yanga simba yada yada nonsense
 
Ati American football is bigger than Rugby....hehehe. Nevertheless, what sport is tanganyika good at so we ask....please don't give us this yanga simba yada yada nonsense
Messi pekee anapokea 53.7m USD per year inter Miami America 😃😃😃

Haya leta mishahara ya rugby tuione SASA

Aaron Rodger mchezaji mpira America anapoke 50.2m USD a year

Na wachezaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi America ni basketball na football 😀😀😀

Na mchezaji anaeongoza kulipa pesa nyingi America ni basketballer anaitwa Devin booker anapoker 56.1m USD
 
FIFA Ban ilikujaje? Nchi serious ya kisoka bila shaka inakua inajua FIFA principles.
Ubaya ni kwamba mnaongea pasi na uelewa. Nyinyi mnaongea tu msifiwe na vilaza wenzenu mitanzania ndio muonekane mabingwa. Hata hapa Africa, Nigeria is a footballing powerhouse lakini ilishawhi pigwa ban na FIFA hadi ikakosa kushiriki mashindano ya AFCON. Swali ni, is Tanzania better than Nigeria in matters football?
 
Back
Top Bottom