Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunajaza nchi zilizooza kwa matatizo ya kiuchumi na anguko la kisiasa,je tutaweza kabiliana na hili??
Maana katika hii jumuiya ni Tanzania pekee yuko imara kwenye kukabiliana na changamoto.
Maana hata rais wa Somalia mwaka jana alimlilia mama Samia kwenye ufunguzi wa barabara mpya ya kikanda Arusha.
Mie sijafurahia sana maana kiuhalisia Tanzania imejiongezea mzigo begani.
Na hao kina Abiy Ahmed watizameni msije anza sikia nao wataka jiunga.
 
Matatizo hayatatuliwi Kwa kuyakimbia
 
Hapana mzee. Hapa tunajiongezee nguvu ya maamuzi kwenye AU na UN.
Kama Tanzania ipo na jambo lake kwa sasa itapata support SADC na EAC.
Kumbuka China na India wapo upande wetu mara zote.

This is international politics mzee.
 
Hii video inawapiga dole la kati wakenya lazima wakae kikao cha haraka. 🤣 🤣 🤣 🤣
Kunyan hawana akili,mitura,githeri mixer chang'aa imeharibu akili zao
Screenshot_20240305-091944_YouTube.jpg
 
Stages of grief
1. Denial
2. Anger
3. Bargaining
4. Depression
5. Acceptance.

Naona sahii bado wako kwenye denial. Wakianza matusi nitajua wamefika kwenye anger ila sindani wataipata tu. 🤣 🤣 🤣
7cbd810f-5eb2-417b-ae36-dfbd2abdc52b.webp
Jenga kwanza acha kutupigia kelele, kwanza kaangalie Render ya Nairobi Green terminus, si mliiweka humu mkaita stand zetu hazifikii, itakua one of kind, yeah ikageuka zaidi ya kituo cha daladala, na mabusi yanayoingia sasa 🤣🤣😨
 
Naona bado uko denial stage. Wacha nijaribu kukuharakishia usonge the next stage. 🤣 🤣

images - 2024-03-05T112500.241.jpeg
 
Some like Best 007 pray everyday for a disaster to destroy every Kenyan… he’s so evil he celebrates death causing accidents ….very weird ..his evil obsession has become a distraction even at his watchman job… actually 007 stands for 0 effort, 0 motivation and 7 toilet breaks he takes every hour…🤣🤣🤣🤣🤣
LEGENDARY!! SLANDER
 
Kunyan hawana akili,mitura,githeri mixer chang'aa imeharibu akili zao
View attachment 2924921
Kenya wametuacha sana tuache ushabiki…Hiyo expressway ni balaa….mmetisha majirani…kongole kwenu….Sisi huku nilisikia wanataka kujenga ya kulipia kibaha chalinze watu wakalamika humu jamii forums.

Wakati wenzetu wamejenga tena kwa muda mfupi sana na ina option ukitaka kupitia hiyo ya kulipia au upite yenye jamu kazi kwako…ukishika waiyaki road mpaka mombasa road ukiwa unaenda airport dakika sifuri…Hongereni sana.

Tatizo kubwa Nairobi ni ukora wa dereva wa uber hasa kwa wageni yaani wana ukora wa kipuuzi mnooo.
 
Some like Best 007 pray everyday for a disaster to destroy every Kenyan… he’s so evil he celebrates death causing accidents ….very weird ..his evil obsession has become a distraction even at his watchman job… actually 007 stands for 0 effort, 0 motivation and 7 toilet breaks he takes every hour…🤣🤣🤣🤣🤣
Pita kule, Mwai Sadima Dickson mwaiofhawaii mpumbavu wa ukoo wa Sadima.

Mimi nikiwa porini alafu akatokea simba na mkenya naanza kuuwa mkenya alafu simba tutajuana baadae.
 
Back
Top Bottom