What about Boxing??Ati American football is bigger than Rugby....hehehe. Nevertheless, what sport is tanganyika good at so we ask....please don't give us this yanga simba yada yada nonsense
Mwaweza tutajia ranking na nyota za boxers wenu??
What about Boxing??Ati American football is bigger than Rugby....hehehe. Nevertheless, what sport is tanganyika good at so we ask....please don't give us this yanga simba yada yada nonsense
Sasa imagine mtu anayekaa mwisho wa hili LA Kwanza hewa inaingiaje??Yaani mtu anatupostia maghorofa ya hivi 👇View attachment 2924289
Hapa kuna kaugomvi kanapishwa. Somaliland....
True.Hapa kuna kaugomvi kanapishwa. Somaliland....
Washukuru hiyo ramani haikuchorwa na Abiy Ahmed🙂Hapa kuna kaugomvi kanapishwa. Somaliland....
Mbabe yule, ila ni mtu sahihi kwa sasa. Watakuwa wameliongelea suala la bandari alipokuja Bongo.Washukuru hiyo ramani haikuchorwa na Abiy Ahmed🙂
Mbabe yule, ila ni mtu sahihi kwa sasa. Watakuwa wameliongelea suala la bandari alipokuja Bongo.
Mtawezana na Port ya Mombasa?...warabu washanyakua port hapa..hakuna kusema lolote..
View: https://twitter.com/IAMartin_/status/1764362500772962425
Kunyan hili dude linawakosesha raha,walishakujaga TZ kuliomba na wao walitumie tukawakatalia,baadae wakalizuia lisiende kundustanList ya miaka mingi iliyopita Tanzania ilikuwa haina Cargo Flight. 🤣 🤣 🤣 🤣