Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya bana mzee tunashukuru kwa kutuachia kumbukumbu, sasa na unaambiwa uwanja wa 330m dollars unajengwa kwa Miezi 12.

Na hizo dollars mnazitoa wapi ikiwa vimradi vya SGR, EXPRESSWAY, mmeshindwa mpaka mchina akachukua kwa miaka.

MSITEGEMEE HAPO MCHINA ATAFANYA KAMA EXPRESSWAY, KWA MAPATO GANI UWANJA UTAINGIZA?

MTAKUA MNAKIMBIA RIADHA KILA WIKI?
Sindano hiyo inawaingia kweli kweli.🤣🤣
 
Sindano hiyo inawaingia kweli kweli.🤣🤣
Ana hoja ya msingi kwamba ukipiga hesabu hakuna chizi atajenga stadium ya gharama hiyo huko kunyaland (non footballing nation) this time mtatakiwa mtoe pesa mfukoni hakuna kutegemea investors, na Gok haina huo uwezo, hapo naona kabisa bukhungu party 2 on one n two beiiiib 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tatu City residentials
tatu-kijani-ridge-jpg.6797632
 
Mrisho ni Mkurugenzi wa DSM Port.. Mbossa ndio Mkurugenzi Mkuu.
Na hii ilikuwa hivyo hivyo toka kipindi cha Hamisi kurudi nyuma (yaani, mkurugenzi mkuu ndo huyo huyo mkurugenzi wa Dar) au wamebadilisha mfumo?
 
Back
Top Bottom