Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekutana na huu uchizi 🤣🤣🤣
20240303_113155.jpg
20240303_113215_HDR.jpg
 
Improvement doesn't mean you are there bro. Nimekwambia ni kama kutoka E hadi D-. Ukiwa na net worth ya $200 utajiita tajiri kisa mwaka jana ulikuwa na net worth ya 100 pekee na leo umeimprove hadi 200? Halafu hizi rankings hufluctuate. Ndio umetoka 135 hadi 119 kwa miaka miwili, hivi unadhani mambo yataendelea hivo hivo? Hujui unaweza toka hiyo 119 urudi 150? Remember you have had the best run in the last two years and we have had one of our worst yet we are still ahead of you. Starting last year after the ban, Kenya has started investing in football again and a good run is imminent. Imagine when our good run begins penye tutakuwa.

All in in, you are still among the worst in matters football. Ni vile Kenya tuna michezo mingine mingi ambayo tunafanya vyema duniani that's why tuna urahisi wa kukubali kwenye soka bado tuko chini. Nyinyi hata michezo mingine hampo so ni hiyo football tu ndio maana mnajiona mko mbele wakati hampo hata. 🤣 🤣
We kweli ni Bumunda.
Kwa huo mfano kutoka 100$ kwenda 200$ uliotoa huoni huyo jamaa kajitahidi kutengeneza asilimia mia ya kile alichotengeneza kabla???
Unaleta story kibaaaooooo kuwa katika denial.
Uwe in good run kivipi???
Ilhali umeshuka nafasi mbili chini toka 110 mpaka 112??
Wakati wewe unatafuta recovery Tanzania ina vijana wadogo wanaocheza nje ya nchi kibao.
Tanzania hiyo hiyo ligi yake inaleta changamoto ya kufufua vipaji kila leo.
Yani unachozungumza wewe sawa useme ah Brazil itarudi tu kuikuta Argentina,ilhali Argentina kila siku huzalisha vipaji kina Nunez kuliko Brazil.
We utakua unaota wewe sio bure.
We kweli Bumunda.
Wakati ninyi mnapambana kurudi wenzenu tuko katika mwendo hatujitafuti kijana.
Ligi yetu kwa kuingiza wachezaji wa mataifa tofauti huwapa motisha wachezaji wetu wa ndani na uzoefu kwa kucheza na vilabu tofauti.
Leo hii ninyi mzalishe wachezaji wa ndani kama Ibrahim Bacca,Feisal Salum,Mudathir Yahya,Salum Abubakar,Mwamnyeto sio sasahivi.
Kwa uwekezaji Tz tuloweka usitarajie sie tushuke kijana sie tutaendelea kupanda.
 
🤣🤣🤣
Sawa, you're a footballing nation at number 119 in the world.🤣🤣
 
Mmeeona nyumba za Mathare, 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅

Mmeona mtu anakaa pembeni ya uchafu, haya maghorofa yanajengwa hivi issue ya sanitation inakuwaje, matank ya maji taka yanaenda wapi, nyumba zote zina madirisha upande wa balconies tu, na ndio sehemu za kuanikia nguo.

Kuna Mkenya humu akasema wana purchasing power kubwa wanakula KFC, imagine mtu ana hela ya kula KFC hana hela ya kukaa sehemu nzuri na safi, kama sio mwehu ni nini

Hizi picha tuzitunze
Yaani mtu anatupostia maghorofa ya hivi 👇
images - 2024-02-04T132631.576.jpeg
 
🤣🤣🤣
Sawa, you're a footballing nation at number 119 in the world.🤣🤣
Eb ngoja nikutolee mvuvi we mbwa, sasa wewe unakataa vipi kwamba sisi sio footballing nation? 😂😂😂 NBC premium league ni number 6 in Africa na 64 duniani, taja league ya kenya ni namba ngapi Africa na duniani? Niko hapa nasubir
 
🤣🤣🤣
Sawa, you're a footballing nation at number 119 in the world.🤣🤣
Ujue me nashindwa kuelewa huwa mnasumbuliwa na ushamba, wivu, roho mbaya au kitu gani.? Kwasababu kati ya mataifa 54 yaliyopo Africa, league ya Tanzania ni ligi bora namba 6, kwa lugha nyepesi kuna mataifa 48 tuyapita/yapo nyuma yetu mkiwemo na nyie wanuka mavi, Sasa ikiwa ni hivyo wewe kichaa unakataa vipi kwamba sisi sio footballing nation.? Ukitaka top ten Best leagues in Africa sisi tumo?
 
Back
Top Bottom