Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo umeme hatutatosha, tutanogewa tuu.

Kabisa... Baada ya kusikia tu kwamba hapo Pwani watakula MW zote hizo nikaona bado kuna kazi kubwa ya kutafuta vyanzo mbadala vya umeme...

Kuna viwanda Kigamboni bado maeneo mengine.. Huo umeme wa Nyerere Hydro hautatutosha... Nashangaa wanavyosema tutapata wa kuuza nje.
 
Na hii ilikuwa hivyo hivyo toka kipindi cha Hamisi kurudi nyuma (yaani, mkurugenzi mkuu ndo huyo huyo mkurugenzi wa Dar) au wamebadilisha mfumo?
Mbossa ni mkurugenzi wa TPA (ambayo ina miliki bandari zote), lakini Mrisho ni mkurugenzi wa bandari ya Dar tu. Kuna wakurugenzi wa bandari za Tanga, Mwanza, Mtwara, ziwa Nyasa na Tanganyika.
 
Stages of grief
1. Denial
2. Anger
3. Bargaining
4. Depression
5. Acceptance.

Naona sahii bado wako kwenye denial. Wakianza matusi nitajua wamefika kwenye anger ila sindani wataipata tu. 🤣 🤣 🤣
7cbd810f-5eb2-417b-ae36-dfbd2abdc52b.webp
Bukhungu party 2 loading........🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kabisa... Baada ya kusikia tu kwamba hapo Pwani watakula MW zote hizo nikaona bado kuna kazi kubwa ya kutafuta vyanzo mbadala vya umeme...

Kuna viwanda Kigamboni bado maeneo mengine.. Huo umeme wa Nyerere Hydro hautatutosha... Nashangaa wanavyosema tutapata wa kuuza nje.
Hivyo viwanda vyote vitatumia gesi.
 
The way we are on you? No you are not happy 😂 you are subscribed and following all Kenyan media stations waiting for crises 😂😂 that’s not happiness, you are miserable. Happiness is peace
No future in Kenya, period.
 
The way we are on you? No you are not happy 😂 you are subscribed and following all Kenyan media stations waiting for crises 😂😂 that’s not happiness, you are miserable. Happiness is peace
When I wanna know how my grandma is doing, I call Ichoboy… he got his ears and eyes tuned on Kenya like white girls on NBA players…🤣🤣🤣
 
Mbossa ni mkurugenzi wa TPA (ambayo ina miliki bandari zote), lakini Mrisho ni mkurugenzi wa bandari ya Dar tu. Kuna wakurugenzi wa bandari za Tanga, Mwanza, Mtwara, ziwa Nyasa na Tanganyika.
Mbossa atakuwa hapendi media maana wakuregenzi wakuu waliopita walisikika sana ndiyo maana nikadhani Mrisho naye ni mkurugenzi mkuu.
 
The way we are on you? No you are not happy 😂 you are subscribed and following all Kenyan media stations waiting for crises 😂😂 that’s not happiness, you are miserable. Happiness is peace
Nchi imekufa haina hata nguvu za kiume😁😁
 
View attachment 2924719

Jengo la mahakama kuu liko karibu kabisa na reli.
this dodoma is a big deal to tanganyikans.....some catch up knee jerk strategy to birth a city out of a village. good start though but don't stretch it too far....where has your government been all this time if I may ask.I am interested in the older judiciary building because clearly this ukiswahilini Islamic design is still under construction
 
The older building was built by "musungu" with no soul, just like yours.
 
Back
Top Bottom