Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,577
Wanasubiri wazungu waje wawekeze kwao ndo ligi yao ikuwe sisi kama Tanzania tuliamua wenyewe haki za matangazo Azam mfadhili Nbc vilabu vina matajiri wa ndani super sport walitutesa sana walitaka tucheze saa 7 mchana ndo waonyeshe mechi zetu ikashindikana kutokana na mazingira ndio maana unaona tunaweka taa kwenye viwanja ili tucheze usiku na ujio wa Azam super sport kapoteza mwelekeo hao wote ni Watanzania nyie subirin wazungu watakuja kuwekeza kwenye mpira wenu
Mambo yanayowakondesha wakenya 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
View attachment 2923332