Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatukunusa because of the FIFA ban. But I can assure that tungeshiriki hayo mashindano hatungetoka bila hata bao moja. Kenya has scored at least a goal and won matches in all Afcon competitions it has participated in. Nyinyi hata hamjui ushindi inatataste aje Afcon, kufunga mabao pia ni shida!!
FIFA Ban ilikujaje? Nchi serious ya kisoka bila shaka inakua inajua FIFA principles.
 
Wacha nikasirishe watu kidogo

1709489902716.png


1709489936529.png


1709490002686.png


1709490023456.png


1709490038962.png


1709490055283.png


1709490070657.png


1709490096658.png


1709490120307.png


1709490142313.png
 
Ujue hawa wakenya ni vichekesho vya kiwango cha juu sana 🤣🤣🤣 nimeipitia hii list ya CAF champions league all time top scorers nimeliona jina la mtanzania mmoja Mbwana Samata akiwa wa 5 na magoli yake 20, vilevile nimeliona jina la Clatius Chama, mchezaji wa simba akiwa wa 7 na magoli yake 18 (19 goals ukiongeza na goli alilofunga jana) ila sijaona popote mkenya au club ya kikenya iliyotoa top scorer of all time in CAF champions league ila wanajidai eti they better than us 🤣🤣🤣🤣 👇CAF-Champions League - All-time top goalscorers.
Watu wanakazana kwenda kucheza top teams za Europe wewe. Uko hapa ukiongelea takataka ya kiafrika inaitwa sijui Caf!!!
Vitu za amateur players,!
Enyewe hope ya kufika world cup labda 2200.
 
Kwani michezo ni soka pekee
Leo tumeleta medali 4 Kenya
Next weekend tunaleta kikombe ya dunia from Uruguay!!!
Nyinyi endeleeni kuzubaa kikiafrika tu?!!
Team mbili kutoka Tanzania zimeingia robo fainali CAF champion ndio Taifa pekee kuingiza team mbili robo fainali ww bado huogopi?? 😅😅

Pesa inayolipwa team kufikisha robo CAF champion ni 900,000usd kila team imechukua, kwa ujumla nchi ishaingiza 1.8m USD 😅😅😅😅
Screenshots_2024-03-03-22-27-52.png
 
Back
Top Bottom