Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kipchoge Keino Stadium Progress
F1x6oXnX0AAPt9e
 
Mpumbavu ni wewe zee jinga.Hoja ya uwekezaji inahusikaje na sunctions? Nimetolea mfano wa Nchi ngapi hapo? Hata Zambia na DRC hawana masharti ya kisengerema.

Unaleta masharti wakati huna chochote Cha maana Cha ku command unachotaka? Tanzania ipo hata top 20 ya Nchi Zenye gas Nyingi hapa Afrika?
Sanctions na sio sunctions!
 
Huu hapa ni mwendelezo wa kingereza cha watanzania

View: https://x.com/k3nzoE/status/1763222177619284042?s=20


Dodoma new financial center under way 👇View attachment 2922592View attachment 2922591View attachment 2922593. Nyie wanuka mavi KANAIRO. Mashashola. mwaiofhawaii. nairobae. NairobiWalker. Nicxie. Teargas. Njooni huku msijifanye hamuoni 😂😂😂 Halaf ona vile government city ilivyo huge 👇View attachment 2922595View attachment 2922597View attachment 2922598
there's nothing financial about this village upgrade
 
Ujue hawa wakenya ni vichekesho vya kiwango cha juu sana 🤣🤣🤣 nimeipitia hii list ya CAF champions league all time top scorers nimeliona jina la mtanzania mmoja Mbwana Samata akiwa wa 5 na magoli yake 20, vilevile nimeliona jina la Clatius Chama, mchezaji wa simba akiwa wa 7 na magoli yake 18 (19 goals ukiongeza na goli alilofunga jana) ila sijaona popote mkenya au club ya kikenya iliyotoa top scorer of all time in CAF champions league ila wanajidai eti they better than us 🤣🤣🤣🤣 👇CAF-Champions League - All-time top goalscorers.
 
Kufeni eeh kwani mnamkomoa nani? Tanzania ipo hata top 20 ya Gas hapa Afrika?

60% ya Mapato ya Nigeria yanatokana na Mafuta harafu wewe inasubiria mzungu atoe pesa yake Ili akupe wewe Kwa bei chee,hana upumbavu huo.
Wanachoambulia Nigeria nikiduchu ukilinganisha na nchi za kiarabu , Nigeria is a failed state hatuwezi kuwatazamia wao
 
Back
Top Bottom